Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #81
Nadhani hii itawasaidia wale ambao wanataka kujaribu kuhit na ku-run. Kuna watu wengine wanabahatisha na kuishi na kulea bila complications kubwa, ila majority ya mahusiano ya nje ya ndoa ni kero na challenge baadae, hasa kama kuna watoto.
Trust me young people. try to avoid unnecessary sex. Especially without protection. You will live to regret, (if you are lucky to live)
Kuna rafiki yangu mmoja nae alidai wameelewana na mdada kuhusu malezi, lakini kila anapopewa cash ya mtoto, au schoolfees ect, anakula nusu, mtoto anamtafutia shule ingine ya bei poa, mtoto hadi sasa amehama shule 5 za msingi!! English na kiwahili mchanganyiko.
Iliishia kuwa yule kaka alikuwa anatukanwa kila anapopata girlfriend, alikimbiwa na wasichana wawili! mmoja ndio kiboko alishinda frustrations hadi leo, ila ni patashika, wewe bado hujaona woman scorned!
Kigarama sijui hujanielewa. . . .
Nimemaanisha kuwa awe ananunua vitu vya mtoto badala ya kupeleka cash ili awe na uhakika sio pesa yake inayotumika kunywea bia, kulipa kodi, kumnunulia huyo mtoto mwingine nguo n.k
Huyo mama kwa maelezo ya Ruta ana hela na siyo vitu. Lizy ni lini umeona kesi ya matunzo ya mtoto ikahusisha vitu badala ya fedha? Hapo ndiyo Concern yetu wanaume inapokuja hasa ukigundua pale unapopeleka hela kuna dume mwenzio anakula na kufaidi jasho lako.
Huyo mama kwa maelezo ya Ruta ana hela na siyo vitu. Lizy ni lini umeona kesi ya matunzo ya mtoto ikahusisha vitu badala ya fedha? Hapo ndiyo Concern yetu wanaume inapokuja hasa ukigundua pale unapopeleka hela kuna dume mwenzio anakula na kufaidi jasho lako.
rutashubanyuma,pole kwa mkasa huo ila kulea mtoto ni kazi c ndogo jaman kama alivyosema lizzy.pili cjakuelewa uliposema mzazi mwenzio alisema kama vipi ahamie kwako we ukasema hutaki...qn je alitaka kuhamia kwako naboyfriend wake ama vip?..and so punguza ka mchezo kako ka kucheza bila kinga then unakimbi matokeo yake.cio fair.
Hahaahahaha mwacheni jamani mbona yeye alibeba mimba bila msaada?
Well, hapo ndo tatizo lilipo sasa, hatujui lolote la upande wa pili zaidi ya tunayoambiwa hapa.
kigarama kwanza heshima yako mkubwa,hakuna hujuma wala chama ila kila mtu na maisha aliyoishi na alivyolewawa kwa wewe wa zamani hii hali sio ya kawaida,kwa hilo nakubaliana na ww, lakini kwa Tanzania ya leo ambayo kila siku afadhali ya jana hiyo laki 7 haitoshi.SEMA KWELI JAPOKUWA INAUMA Uchungu,mateso, na malezi ya mwana ajuaye mama ye rutashubanyuma kuleta vijisenti vyake na kuondoka acheni ukatili jamani.HAKUNA KAMA MAMA
Lizzy yeye anachotaka ni minoti.......kubeba mimba haikuwa bakhati mbaya tulikuwa tumekamiana tuzae pamoja na majukumu tukagawana..........lakini alipopata huyu hawara yake........................ndipo akaona kapunjwa sasa anakuja kutaka ugali mkubwa nje ya makubaliano yetu............
Akiugua kadi ya bima inampeleka hospitali, risiti ya shule inampandisha daladala au gari la shule, akiwa na njaa anajilisha mwenyewe, nguo zikichafuka zinajifua zenyewe, ankiwa na njaa mchele, unga, mayai, n.k. ulivyopeleka vinajipika vyenyewe. Kwani Kutompa pesa ndio mnaona manafaidi sana? Mtoto akikuwa atasimuliwa na mama yake. ATAWACHUKIA TU.
Makubaliano yenu ya awali yalikuwaje Ruta? Kuzaa na kuishi pamoja au kuzaa tu? Kama na kaboifrendi kake hakafanyi kazi basi anakukomoa hivyo naanza kukuonea huruma. Be a man and stand up for yourself.
Akiugua kadi ya bima inampeleka hospitali, risiti ya shule inampandisha daladala au gari la shule, akiwa na njaa anajilisha mwenyewe, nguo zikichafuka zinajifua zenyewe, ankiwa na njaa mchele, unga, mayai, n.k. ulivyopeleka vinajipika vyenyewe. Kwani Kutompa pesa ndio mnaona manafaidi sana? Mtoto akikuwa atasimuliwa na mama yake. ATAWACHUKIA TU.
[MENTION]We Mhaya nakusikitikia sana, mwanamke sio mashine ya kuzalisha vitu. Ni kiumbe hai (mwanadamu) na anayestahili heshima yake. Wewe hukulalamika wakati unafanya nae mapenzi mpaka akakuzalia. Ukawa unamhonga anakupa yote, ukaona umpe tunda bora la kibinadamu (mtoto). Mtoto ni part and parcel ya mama yake, huwezi kulea mtoto bila kumlea mama yake. Ni ujuha na upunguani. Wakati wa kula mavituz ulikuwa unatoa pesa tena kwa raha kabisa za kumtunza huyohuyo mwanake. Leo umemzalisha hafai. Wacha hiyo na wengine wote wenye tabia hiyo nawataka waache kabisa kutenganisha malezi ya mtoto na mama yake. Kumbuka kwenye duru za kiafya kuna MCH (Mother and Child Health), iwe wewe!!!!!!!!
kwani kwa sasa ana miaka mingapi??? akifika umri wa kuanza nursery skul, unaweza kufanya yafuatayo, ada ya shule lipa mwenyewe shuleni mama mtu atafuata receipt tu, mkatie card ya bima mwanao incase ya ugonjwa, mwambie mama yake asiworry about clothes and shoes u will provide kama vitu n not kama pesa, then kadiria mtoto wako kwa mwezi anaweza kuwa anakula maya 5kgs za mchele, unga the sama, nunua kuku wa2 na nyama kilo 2, nyanya kilo 2, vitunguu na everything kg moja, moja,. yaani mwenzi ndivyo nifanyavyo kwa mtoto wa kakangu, my brother yupo chicago long tym, kaacha mtoto bby gal kwa mama yake, mama yake aliambiwa anipe mtoto akakataa, so my brother anatruma pesa kwangu, mara moja moja during her birthdays, but hizi cku nyingine, this is what i normaly do. HATUMPI PESA KABISAAAAAAAAAAAA!
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiii inaumaje jamani???? pole sana!
Kama analipiwa na shelter basi huyo mama ni mkorofi. Halafu yeye anacontribute kiasi gani? Still hii case haiwezi kumalizwa kwa mapatano ya kisheria not necessarily mahakamani?
Rutashubanyuma, umeoa?
Kwanini ukubaliane na mtu kuzaa tu, na si kufunga ndoa?
Unajua hii ya single parenting inaathiri sana watoto. Mimi kuna maswali huwa naulizwa hadi nakosa majibu!
Na kwanini unaogopa publicity in case mkienda mahakamani? Itakuathiri kijamii, kibiashara au kindoa (in case u r married)?
Hahahahahah. . yani unataka kuleta uzungu uswahilini? Huyo dada ana haki kabisa ya kukuchezea kama mpira. Yani wewe umzalishe tu bila.kuwa na mpango nae alafu akuache hivi hivi.Get real bana. . . mngekua mlikua mnapendana alafu mambo yakaenda ndivyo sivyo ningekuonea huruma, kama mko kibiashara zaidi toka mwanzo na wewe kubali tu kutumwa kama wewe ulivyo/unavyo mtumia mwenzio kama kizalio tu.[MENTION]Lizzy [/MENTION] makubaliano yalikuwa tuzae na mie nitakuwa nampa laki saba kwa mwezi kwa malezi ya mtoto. mambo yamekuwa hayana shida lakini sasa ana mwaka anaishi na njemba fulani ndiyo imemtia ujinga..........na ndiyo amekuja na madai mapya ya tshs 2.1 m/= kwa mwezi kinyume na makubalino yetu na ninajilaumu kwa kumkubalia kuzaa naye.............moyo wangu ulisita sana sasa najua lati ningeliusikiliza hizi vurugu zisingenikuta..........