Mamaake ni Single Mother lakini kamkataza asioe Single Mother

Kwanini watu hawataki kuukubali ukweli kuwa wazazi sometimes wanakosea??
 
Mueleweni Mama, keshaona tangu zamani mwanae hana UANAUME ndani yake halafu anakutana na singo maza
 
Alafu kijana ambaye hana moyo mgumu na hajaamua kikamilifu sio wazo zuri Sana.
Kijana mwenye mawivu yasiyo na mbele wala nyuma pia sio wazo zuri
Maishani mwako jenga tabia ya kununua vitu vipya achana na maisha ya USED. Kama bado mambo hayako vizuri kiuchumi jipe muda mpaka ukuze mfuko wako. How on earth mtu unaenda kununua godoro lililotumika? Ukizoea haya maisha hata siku “ukijipata” utaendelea kuyaishi na utaona poa tu
 
Usingle Maza sio sifa nzuri ndio maana mama anapambana kurekebisha makosa kupitia mwanae
 
asikilizemoyo wake unataka nini wakati mwingine awe makini anapofanya maamuzi kabla ya kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…