Ha ha ha ha na kwenda kuanikwa juani na wajukuu kama mbilimbi...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
ha haaaaa, yaani sina mbavu hapa, basi nitacheka mpaka usingizini, kha!!!!!!! watu wana maneno jamaniHa ha ha ha na kwenda kuanikwa juani na wajukuu kama mbilimbi...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Huyu Bibi kila kukicha anafanya plastic surgery ndo maana yupo vile.Hana lolote.ni fake zone.
Rafiki mimi hata nikifikisha umri huo sitaanikwa kama mbilimbi...... you know me......Kwi kwi kwi kwi lol! Rafiki Fixed Point hutaki kuja kuanikwa kama mbilimbi na wajukuu ukijaliwa kufikisha umri huo? Pamoja na kuanikwa kama mbilimbi lazima utililie vidudu vyako ili ukumbuke enzi zako za kuwa mrembo ππ. Aisee huyo mama kapitiliza yaani anahangaika sana kutaka urembo uendelee na huku sura imeshajichokea na mwili nao uko hoi bina taabani. Muone hapa chini jinsi plastic surgery zilivyomfanya kazi mpaka anatisha dah!!!!
Shocking pictures of Jackie Stallone, 92, shows damaging effects of plastic surgery - 3am & Mirror Online
Acha wengine wajionee shida kuishi miaka mingi kiasi hicho.
Most Americans don't want to live past 100: poll - NY Daily News
NB: Msalimie huyo mrembo mwenye tabasamu la kufa mtu ππ mwambie achakarike ili anufaike na tabasamu lake kwa kufanya patent registration ya tabasamu hilo maana waigizaji wako kwenye vioo kwa masaa chungu nzima kujaribu kuliiga ππ wakati kwa mrembo linakuja lenyewe tu bila kufanya efforts zozote ππ
Uwe na weekend njema Rafiki
Rafiki mimi hata nikifikisha umri huo sitaanikwa kama mbilimbi...... you know me......
Bibi yangu ambaye nafanana naye kwa vitu vingi sana alifariki akiwa na past 100 years na uniamini alikufa akiwa bado tunakula chakula anachopika yeye. kwa hiyo tegemea kuniona hivi hivi kwa miaka mingine zaidi ya 30 ijayo labda ndo nitaanza kubadilika
Amina rafiki.....Chezeya majaliwa ya kuwa na genes nzuri weye!!!!! nakubaliana nawe rafiki maana ikifikia pale unapofuatana na wanao watu kudhani ni wadogo zako na si wanao hii na wengine kufikia hata kubisha kwamba unaupenda umama wa kuita watoto wa wenzio ππ kama ni watoto wako basi ujue bado unaonekana bado sana. Hata ukiingia darasani darasa la saba π walimu na wanafunzi hawatakushtukia na ukiongeza na mazoezi unayoyafanya basi ndio unazidi kuonekana msichana. Tumuombe Muumba wetu akufikishe miaka hiyo hata na zaidi ufikie umri alioishi bibi au hata kuupita.
Mmh bibi yupo vizuri, kwa huku kwetu sasa hivi ukifikisha huo umri basi hata kufumbua kope utakuwa unasaidiwa
LOL!....lakini JF!...lol!,you sure made my sat!
Aseme kuwa hajachakaa!kwa ujana hakuna hapo akikupitia karibu mipumzi inamtokea masikioni badala ya pua na mdomo!Miaka 92 unasema kijana?? Au kwasababu anatembea??
Huyo ni mzee tu
Watu bongo hawazeeki wewe! wanachakaa tu!uzee baraka ,unadhani unaweza kuupata uzee kirahisi?♥Huku kwetu mtu ukifikisha 40 ni babu na mvi juu.
♥Maisha ya bongo unachelewa kukua lakini unawahi kuzeeka tofauti na wenzetu wanawahi kukua na wanachelewa kuzeeka.
LOL!....lakini JF!...lol!,you sure made my sat!
Stata umeniua mbavu jmn hivi umewaza nn kutoa jibu km hili!Ha ha ha ha na kwenda kuanikwa juani na wajukuu kama mbilimbi...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app