johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano.
Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya zaidi.
Chanzo: ITV habari!
Maendeleo hayana vyama.