johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe!Hao mama lishe wanafanya biashara au wanatoa huduma?
Alietakiwa kulalamika ni walaji na sio wao.
Serikali ya CCM ni sikivu!Hawa inaonekana siyo wazalendo. Wanalalamokaje wakati ndiyo kwanza tumeingia uchumi wa kati? Wasubiri kidogo tuingie uchumi wa juu ya kati mambo yao yatakuwa mazuri kabisa. ...5 tena
Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano.
Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya zaidi.
Source ITV habari!
Maendeleo hayana vyama.
Watatulie sasa changamoto zaoWameongea na serikali siyo Ufipa Bawacha!
Mkuu umenikumbusha mbali sana Kuna lecturer wangu alinifundisha journalism alikuwa Ana kwambia u aandika habari....inatakiwa ujibu Hilo swali so what? give w and h on you news, what, when, why, when and to whom. then how....that is newsSo What!??
Hamna kitu siwezi kuwaamin..kipindi cha sukari walisema kuna tani elf 40Kuna Meli yenye shehena ya unga wa ngano ambayo itatia nanga bandarini hivi karibuni na kumaliza hilo tatizo la unga nao kupanda bei. Mama lishe wa Mtwara kueni wavumilivu
Wafikishie ujumbe wa mitano tenaMama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano.
Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya zaidi.
Chanzo: ITV habari!
Maendeleo hayana vyama.
Uzalishaji huo utauongezea wapi?Hoja mbadala, badala ya kulalamikia ngano na mafuta, kwa nini isiwe fursa kwetu kuongeza uzalishaji?
Mkuu mbona nchi imejaa mapori, ngano inastawi kwa mda gani? Hatujawa serious tu, ndoo ya lita 20 ya mawese Kyela ni 25,000. Milima ya makete yote ngano inastawi vizuri, Kuna kitu hakijawekwa vizuri. Sisi tunatakiwa kuuza sio kununua ngano na mafuta toka nje.