Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ikikua utayasahau hayo.1.Yanga 5 Simba 1
Msamaha kwa Ayoub ulifutwa baada ya mechi na KMC.1.Yanga 5 Simba 1
2. Kibu Dennis kupondwa na mashabiki na sasa anatakiwa Wydad
3.Clatous Chota Chama kudaiwa kuuza mechi vs Yanga
4.Ayoub Lakred kupondwa na sasa anaombwa radhi
5.Mzee wa Objectives Robertinho kushangilia sare ligi ya
NBC
6. Simba kufuzu ligi ya mabingwa hatua ya makundi kwa
mbinde
7.Mangungu kugoma kujiuzulu licha ya makelele ya
washabiki na wanachama wa Simba
8.Migogoro ya ndani kwa ndani ktk klabu ya Simba
9.Tajiri Mo Dewji kutoa maneno yenye ukakasi kwenye
mitandao ya kijamii kila Simba inapopata matokeo
mabaya
10.Wachezaji waliokuwa wakikaa benchi Simba kupangwa
kwenye gemu vs Wydad
Ayoub tusameheeee!Hapo lipi limekufurahisha na lipi limekukera boss
Ila yule kipa ana shida sehemu.Msamaha kwa Ayoub ulifutwa baada ya mechi na KMC.
Msamaha kwa Ayoub ulifutwa baada ya mechi na KMC.
Naaga duniyaaa jamanii..!! Umenikumbusha yule mtoto wa kinyakyusa..!!
Yajayo yanagangwa kwa kutazama yaliyopita na yaliyopo..!!Yagangwe yajayo...
Alichoandika kinaonekana cha kijinga hasa ukiwa kolo..!!Umeandika ujinga.
Rudia kusoma utaelewa .Alichoandika kinaonekana cha kijinga hasa ukiwa kolo..!!
Sijasema sijaelewa..!!Rudia kusoma utaelewa .
Ile kauli ya "WALA MIHOGO" ilitoka mwaka gani?1.Yanga 5 Simba 1