Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Najua Taifa limejaa homa juu ya game ya kesho. Ni kweli ni game ngumu kwa Simba kuliko game zote imecheza hivi karibuni. Pamoja na kazi kubwa ya viongozi na makocha nimeona niandae mambo 10 muhimu kuelekea hicho kipute.

1) Simba lazima ashinde magoli yasiyopungua matatu bila kuruhusu goli
2) Larry Bwalya na Bernard Morrison kama wataamka vizuri ndio silaha kuu kesho
3) Simba lazima wawe quick kwenye transitions maana Pirates counter zao ukitoa Mamelody ni hatari! Hatari!
4) Mashabiki zimeni TV muende uwanjani. Nguvu yenu ina 30% kuwapa wachezaji moto. Msizomee mchezaji akiharibu. Lawama baada ya game
5) Gomez alipenda hadi wachezaji walio nje kusaidia kushauri wenzao kila fursa ikipatikana. Hii huleta hamasa na kujitoa, itumike kesho ikibidi Chama pia awepo kwa kazi maalum.
6) Simba tuna tatizo la kuruhusu mashambulizi kupenya kirahisi viungo na pressing kubwa kufanyika maeneo hatari. Hawa speed yao ni hatari, washambuliaji na viungo wafanye kazi kubwa
7) Orlando pirates watalazimisha wapate goli au magoli ugenini. Statistics zinawabeba, bila kuanzia viungo na washambuliaji ku press si rahisi kuwazuia wasipate goli
8) Nimesikia wachezaji wetu wameambiwa umakini mkubwa sababu ya VAR, wasisitizwe hadi dk ya mwisho.
9) Mashabiki wekeni hamasa bila kujali timu ipo nyuma hata kama ni goli 2. Msukumo wenu ndio unaweza kubadili hali yoyote mbaya.
10) CAF kutumia generator kwenye VAR wamezuia hujuma za kukata umeme makusudi......Hii game lazima tushinde, uzoefu na uwezo upo ndani na nje ya uwanja ..................Let go [emoji881]
 
Wakuu,

Najua Taifa limejaa homa juu ya game ya kesho. Ni kweli ni game ngumu kwa Simba kuliko game zote imecheza hivi karibuni. Pamoja na kazi kubwa ya viongozi na makocha nimeona niandae mambo 10 muhimu kuelekea hicho kipute.

1) Simba lazima ashinde magoli yasiyopungua matatu bila kuruhusu goli
2) Larry Bwalya na Bernard Morrison kama wataamka vizuri ndio silaha kuu kesho
3) Simba lazima wawe quick kwenye transitions maana Pirates counter zao ukitoa Mamelody ni hatari! Hatari!
4) Mashabiki zimeni TV muende uwanjani. Nguvu yenu ina 30% kuwapa wachezaji moto. Msizomee mchezaji akiharibu. Lawama baada ya game
5) Gomez alipenda hadi wachezaji walio nje kusaidia kushauri wenzao kila fursa ikipatikana. Hii huleta hamasa na kujitoa, itumike kesho ikibidi Chama pia awepo kwa kazi maalum.
6) Simba tuna tatizo la kuruhusu mashambulizi kupenya kirahisi viungo na pressing kubwa kufanyika maeneo hatari. Hawa speed yao ni hatari, washambuliaji na viungo wafanye kazi kubwa
7) Orlando pirates watalazimisha wapate goli au magoli ugenini. Statistics zinawabeba, bila kuanzia viungo na washambuliaji ku press si rahisi kuwazuia wasipate goli
8) Nimesikia wachezaji wetu wameambiwa umakini mkubwa sababu ya VAR, wasisitizwe hadi dk ya mwisho.
9) Mashabiki wekeni hamasa bila kujali timu ipo nyuma hata kama ni goli 2. Msukumo wenu ndio unaweza kubadili hali yoyote mbaya.
10) CAF kutumia generator kwenye VAR wamezuia hujuma za kukata umeme makusudi......Hii game lazima tushinde, uzoefu na uwezo upo ndani na nje ya uwanja .....Let go [emoji881]
Mwisho wa safari umefika
 
Mwisho wa safari umefika
Game ipo hapa, kule naishauri Simba iwaite makocha wakongwe wazawa kushauri game za away hasa Kibaden. Kikosi kikipangwa vizuri na game plan nzuri hata kule hawatoki. Mfano game za away sioni umuhimu wa Kapombe na Tshabalala.

Ni kupanga solid back 3 ya Wawa, Inonga na Onyango. Alafu Viungo 5 Kennedy ,Lwanga, Kanoute, Mzamiru, na Erasto ( Mzamiru na Kanoute kusaidia counter attack). Mbele weka Mugalu na Sakho. Hapo hatufungwi goli zaidi ya 2
 
Orlando Pyrates kwa sasa ni timu ya kawaida sana, sio kwenye shirikisho tu hata kwenye ligi yao, hivyo Simba na mashabiki msiwe na wasiwasi wote zaidi ya kuwa makini na nidhamu.

Tatizo liko hapa zaidi.
1. Uwepo wa VAR kwa Mkapa (hii sio habari njema sana kwa Simba)

2. Hatari ya Simba kuruhusu goli (hili ni jambo linaloweza kutokea kwa kuwa Simba itaingia uwanjani kwa msukumo wa kusaka magoli tu na kujisahau kuzuia)

3. Hatari ya Simba kupata magoli machache (Ni wazi Orlando watakuja na msukumo wa kuzuia tu)

Binafsi nadhani huenda mechi itakwisha kwa Simba kuvuna goli mbili kwa bila.
 
Game ipo hapa, kule naishauri Simba iwaite makocha wakongwe wazawa kushauri game za away hasa Kibaden. Kikosi kikipangwa vizuri na game plan nzuri hata kule hawatoki. Mfano game za away sioni umuhimu wa Kapombe na Tshabalala.

Ni kupanga solid back 3 ya Wawa, Inonga na Onyango. Alafu Viungo 5 Kennedy ,Lwanga, Kanoute, Mzamiru, na Erasto ( Mzamiru na Kanoute kusaidia counter attack). Mbele weka Mugalu na Sakho. Hapo hatufungwi goli zaidi ya 2
huko ni kuji lipua mbona[emoji1][emoji1]
 
hofu inazidi sababu Simba hii sio strong kiivyo,tuongee ukweli,na beki zenyewe pale matundu tu.
hakika mkuu beki za Simba inategemea na wameamkaje siku hiyo,siku zingine wanacheza vizuri siku zingine wanaboronga mwanzo mwisho basi hatari tupu.
 
HOFU kubwa ya Simba ni uwepo wa VAR!!!.
Hii mechi Simba analiwa kweupe🚶
 
Nilichoona game ya Al Ahly ndio ubaya wa kuruhusu goli. Game imekwisha 2-1 na sioni uwezekano wa Al Ahly kufanya miujiza ugenini! Goli 3 bila ndio dawa.
 
Back
Top Bottom