Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Haya ni mambo muhimu kuhusu blogu haswa kwa wale wanaopenda kuanza kublogu au wenye blogu lakini wanapenda kujifunza zaidi baadhi ya vitu , mengine unaweza kujifunza kwa kutafuta kwenye mitandao kadhaa au kuuliza .
Kuna mitandao 2 mikubwa duniani yenye huduma za bure za blogu ambazo mtu anaweza kusajili blogu yake www.blogspot.com ambayo ni mali ya google huduma nyingi za google zinatapatika kwenye blog spot kwahiyo ni rahisi kufanyia kazi WordPress.com - Get a Free Blog Here blogu nzuri ulimwenguni zimetengenezwa kutumia wordpress unapotumia wordpress ni vizuri ukawa mzoefu wa baadhi ya vitu .
Zaidi Angalia - blogroots.com.
1 Kitu muhimu kuliko vyote kwenye ulimwengu wa blogu ni kwa wewe mwenyewe kuamua kublogu yaani kusajili blogu yako kuna mitandao 2 duniani ambayo ina wanachama wengi zaidi www.blogspot.com WordPress.com - Get a Free Blog Here .
Zaidi Angalia - Blogger Help ,
2 Ukisha sajili blogu yako lazima ujue lengo la blogu yako ni nini , kwanini umeanzisha blogu hiyo na manufaa ambayo utayapata kupitia blogu hiyo kama ni ya kampuni lazima iwe kwa maslahi ya kampuni kama ni makundi ya kijamii vile vile .
Zaidi Angalia - http://www.blogger.com/start
3 Watu wengi huwa wanakata tamaa wanapofungua blogu zao na kukuta hazitembelewi la watu ( hazijulikani ) njia rahisi kuliko zote ni kuunganisha blogu yako kutumia viunganishi ( links ) na blogu nyingine au tovuti nyingine mfano unapoweka kiunganishi( link ) ya blogu A nae Blogu A ataweka kiunganishi kwake cha blogu yako na hivyo ndivyo watu wanavyoweza kujua blogu yako na kuitembelea lakini usisahau kuitangaza kwenye majukwaa ya wazi na njia nyingine kama sahihi kwenye Barua pepe .
Zaidi Angalia - Cash Advance | Debt Consolidation | Insurance at No-Nonsense-Internet-Marketing.com
4 Kama ilivyokwenye hatua ya 3 nilivyoeleza watu kukata tamaa na kuacha blogu zao na hili ni jambo muhimu kuweka vitu vipya ( updates) sasa unapounganisha blogu yako na A kila unapoweka kitu kipya kitaonekana kwenye blogu A na muda ulivyoweka kitu hicho hii itakusaidia sana .
Jambo muhimu hapa ni kukataa kuunganisha (link ) na blogu au tovuti usizojua taarifa zake au ambazo wakati mwingine haziendani na maudhui ya blogu au tovuti yako na makubaliano yako na sehemu uliyosajili blogu yako .
Zaidi Angalia - Free Web Stats Free Web Statistics Invisible AddFreeStats,
5 Kuna tatizo la kuandika na suala la miliki ( haki ) kama huwezi kuandika vyako basi chukuwa kwa wenzako na kuweka kiunganisha cha chanzo cha picha, makala ,habari au chochote ulichoweka , usipoweka vyanzo kuna uwezekano wa blogu yako kufungiwa au baadhi ya huduma kusitishwa mfano unapojiunga na adsense hautakiwi kuchukuwa kazi za wengine bila kuweka chanzo , lakini sio kila mtu ni mwandishi ila kila mtu anapenda kuwa na blogu sasa ufanyaje ?
Zaidi Angalia - Visit SEO Copywriting, Website Copywriter, Copywriting Ebooks - Divine Write Copywriting
6 Unaweza kutengeneza kipato kila mwezi kupitia blogu yako kwa njia ya matangazo ambazo zinapatikana kwenye mitandao inayojulikana zaidi na yenye hela nyingi ni google Adsense www.google.com/adsense tafadhali angalia taratibu zake uzisome na kuelewa Akaunti nyingi za Adsense hufungiwa kutokana na watu kutokufuata masharti vizuri .
Huduma nyingine za matangazo ni INFOLINKS | Linking text to revenue! adBrite Exchange , ukiwa na Adsense unaweza kuunganisha na huduma nyingine kama hizo nilizozitaja hapo lakini ni vizuri ukasoma maelezo ya huduma fulani kabla yakuweka kwenye blogu au tovuti yako .
7 Kuwa wakala wa Kuuza vitu au kuweka matangazo , Blogu yako au tovuti yako ikiwa na watembeleaji wengi au hata kama haina unaweza kuomba kuwa wakala wa kutangaza bidhaa zingine au kuuza kupitia blogu yako uwakala huu .ingawa kipato chake ni kidogo lakini unaweza kupata kipato kikobwa na matangazo zaidi kadri watu wanavyoongezeka kwenye kurasa za tovuti yako au blogu .
Jambo muhimu ni kujua tovuti unazofanya nazo kazi kwenye uwakala kama zinaaminika na wanafanya biashara hizo ukweli , blogu yako inaweza kutumika kama daraja la watu kuibiwa fedha zao na taarifa zao nyingine
Angalia Zaidi Affiliate | Make Money Internet | Mlm Lead | Usana | Smc Product at Affiliatepotion.com
8 Wengi wetu hatupendi kupata mrejesho (feedback ) kutokana na kazi zetu kwenye mtandao au hatuweki mawasiliano kama namba za simu na barua pepe au hata tukiandikiwa basi hatujibu , hili ni baya unapokuwa kwenye dunia ya ushindani kama hii lazima uache mawasiliano ili watu waweze kutoa mrejesho kuhusu walichoona kwenye kurasa zako na jinsi wanavyotaka iwe zingatia maoni ya watembeleaji wa Blogu au Tovuti zako .
9 Unapokuwa na blogu au tovuti haswa zinazohusu taarifa au habari ni vizuri na muhimu ukashiriki kwenye mijadala na mawasiliano mengine ambapo unaweza kuacha viunganishi vya blogu au tovuti yako huko haswa kwa njia ya makala jaribu kuandaa makala na mada nyingi uwezavyo ambazo ni nzuri na kusambaza kwenye mitandao mingi uwezavyo mada isiyozidi maneno 400 , kumbuka blogu si gazeti .
Zaidi Angalia - http://EzineArticles.com/ na EzineArticles Member Signup - New Free Membership Account Creation
10 Niliwahi kuandika Huko nyuma kuhusu maudhui ya Kurasa za Blogu au tovuti kwamba nyingi zinazohusu Tanzania zinafanana na nyingi kama blogu kwa mfano mtu anakuwa na blogu 3 zenye vitu vinavyofanana kwa lengo la kupata kipato zaidi kupitia huduma za matangazo kama Google Adsense , hilo ni kosa unaweza kufungiwa na usipate hela zako za matangazo na kampuni kama Google , Bing au yahoo kwenye Search Engine .
Zaidi Angalia -
Hayo ni maelezo mafupi kuhusu blogu na jinsi unavyoweza kufanya mengi unaweza kujifunza kutokana na kusoma viunganishi vilivyoweka kwenye kila Jambo .
Kumbuka Huduma hii ni bure unavyopata maarifa kumbuka kuyatoa bure hata kwa njia ya maandishi kama hii ili wengine waweze kusoma kuelimika na kusaidiwa popote walipo
Yona F Maro
0786 806028