marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa[emoji1316] Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa
2: Diamond Platinumz[emoji1316] Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge la Show[emoji1316] Energy ya kutosha... Si wasanii wote wenye uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 50,000 wacheza kwa pamoja
3: Larry Bwalya..NAAAM[emoji1666] WHAT A PLAYER! Anapokea, anatoa! Kama mkata Tiketi wa kwenye mwendo kasi [emoji91] Mchezaji wa malengo makubwa. Top Class[emoji1316] Tumsubiri Mkwakwani sasa
4: Ibrahim Ame[emoji1316] Macho ya wengi yalikuwa kwa Onyango, akapata nafasi ya kucheza bila presha na kuonyesha kwanini mpaka sasa ni ngumu kwa Juma Mgunda kutaja nani ni bora kati yake na Mwamnyeto
5: Mugalu.. 'The Animal' [emoji1316] Nimependa anavyokaa kwenye nafasi katika eneo la mwisho. Kasi, nguvu ni miongoni mwa silaha zake muhimu uwanjani. Bado nahitaji kumuona Tena kujiridhisha kwenye 'art yake ya umaliziaji'
6: Sven Vanderbroek[emoji1666] Amejaribu kikosi na kujiweka Majaribuni. VITAL 'O amekufa 6, Luis Miquissone akiwa Honeymoon[emoji1316] Kuna quality nyingi kwenye kikosi cha Simba. Kazi ni kubwa kwa Sven kupata balance ya Timu yake kiufundi
7: Benard Morrison.. BANIANI MBAYA, MWENYE DAWA KWENYE KIATU CHAKE[emoji1316] Naelewa kwanini Yanga wamechagua kwenda FIFA kudai haki yao
8: Asante AJIB [emoji1666] Katikati ya Bwalya na Chama, unampata kijana wa Kitanzania aliyesimama kutoa burudani. Uamuzi wa kipaji chake bado uko kwake
9: Mo Dewji[emoji1316] Bilionea mwenye wazimu wa soka! Nilipenda alivyokuwa 'active' katika Kila Tukio kiwanjani.
10: Zile nafasi tupu majukwaa ni tafsiri kuwa Simba walifanya 'promotion ya mazoea'. Ilihitajika pia tathimini ya kina juu ya Viingilio kama ni rafiki kwa wakati Tulionao
Nb: Kama wale wabovu, Ombeni mechi[emoji3]