Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Mimi ni post paid sinunui bundle wa vocha . Fala weweAwana?
Umekula dinner au pesa yenyewe umejiunga bundle
Sawa ,basi nisamehe mkuuMimi ni post paid sinunui bundle wa vocha . Fala wewe
🤣Ondoka hapo nyumban kwa mume wa dada yako... Sasa hivi utakuwa mke mdogo
Huyu jamaa ana nyuzi kibao ambazo zinaonyesha uchambuzi wake kuwa wa kukurupuka.We jamaa kila kocha wa Yanga hafai, Gamond, Ramovic, yule wa juzi na leo Folz. Poleee
Huenda hajala kiapo huyu jamaaHuyu jamaa ana nyuzi kibao ambazo zinaonyesha uchambuzi wake kuwa wa kukurupuka.
Hajui lolote kuhusu mpira ila anajifanya anajua, anahangaika kama muhasibu😀😀Huyu jamaa ana nyuzi kibao ambazo zinaonyesha uchambuzi wake kuwa wa kukurupuka.
umevimbiwa michembe wewe.I will be short
1. Yanga amna kocha
2 . Conte wenge nyingi sana anaitaji game time
3. Ecu sio mchezaji mzuri ni mchezaji machachali
4. jezi ni mbaya may be za mazoezi
5 . Pacome ni mtu hatari sana sana
6 . Bonyeli ni bonge Kama foward la Simba lile nene Kama tofari
7 . Chikola na wengine wana hitaji coaching nzuri sana
8. Team yanga wanayo nzuri sana . Sema kocha amna .
9 . Kuoma mmmh tumpe muda .
10. Mechi ilikuwa imepoa sana sana . Yani yanga wamecheza vibaya . I hope wata improve kidogo sana . Ila mechi ya Simba na yanga . Yanga anakufa . Unless huyu kocha abadilike
Jifunze kiswahili la sivyo utajiaibisha maana ulichokiandika hakieleweki,ni kama katoto cha msingi mimi naomba uongozi wa jamii wekeni option lazima namba ya nida maana huku kuna vitoto vya pampersI will be short