huna jipya
hueleweki wewe!
hahaha...asante sana , kiukweli umeandika kila kitu ! na nakiri kwamba una akili sana , umeona ambayo wengi hawajaona , hongera sana .
Mwandishi wa hii makala kumbe ni yule Masawe Melisa anaye muabudu Slaa na Mbowe.....sijaona cha maana hapo bali hadithi za Bavicha...