Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Viongozi wangu wa Simba, Naomba mnisikilize kwa umakini na muuzingatie ushauri wangu.
1. Mbinu zenu zote mlizokuwa mnazitumia kwa Mkapa kwa sasa zimeibwa na wenzenu waliofuzu jana, Zungu Pori ameuza silaha zenu zote.
2.Wenzenu wanapotaka kufanya jambo lao wanakufuru mara 100, hawana tena uoga na mungu, mfano believe me or not mechi ya jana ndumba zilikuwa za umafia kama ule waliotufanyia sisi wakatupiga mkono wa nyani, ninazo taarifa mijusi na mchanga wa kaburini vilisafirishwa kutoka nachingwea hadi dar es salaam kwa ajili ya kumaliza mechi ya jana.Na wazee waliotumwa hivyo vitu wameniambia live.
4.Yale malalamiko ya zungu pori kuwa kocha wa Stars alikuwa anawahujumu ilikuwa janja ya nyani tu na sisi wajanja tulishang'amua.
5.Tafuteni watu wenye roho mbaya kama wenzenu, wanaojua kumchukiza mungu, watu wanakufuru hadi wanamzimisha mwenzao ujue hawana masihara hao.
5.Msicheke na nyani sasa hiv, wenzenu ni wakatili sana, hawana uwezo dimbani isipokuwa wanafanya makafara ya hatari ambayo nyie ndio mlikuwa waanzilishi na sasa wanatamba nazo mbinu zenu.
Mambo yenu yote kiukweli wameyachukua wao, kwa mkapa ss hv ni kwao na sio kwenu tena.
Msipobadilika watachukua ubingwa mara 10 mfululizo na jini lao wanalolitumia na kuligharamia pale nyumbani kwa zungu pori.