Mambo 10 niliyoyaona jana CRB na Utopolo

hivi wewe unataka kumdanganya nani,huo mchanga kutoka nachingwea unafanya nini uwanjani,hata ungeleta mavuzi ya mamba au uchi wa fisi ndio nini,we unacheza na uwezo wa pacome,unacheza na determination ya wachezaji wa yanga,unacheza na uongozi wa yanga ambao wana apply leadership by objectives,unacheza na benchi la yanga lenye utaalamu wa kupindukia,we unamjua gamondi,hivi unajua kuwa gamondi ameifundisha hiyo timu ya belouzidad,acha kujamba jamba,yanga inaendeshwa kitaalamu zaidi
 
Watu wanaamini ushirikina sana ndio maana maendeleo hakuna. Siri ya mafanikio ya Yanga ni kuendesha soka lake kisasa. Hakuna ushirikina.
 
Huyu ni;
A: Analyst
B: Ana list
 
Huku kijijini tuna watu wengi kama wewe. Wakimuona jamaa mazao yake yanastawi sana na mavuno ni mengi, wanasema ana misukule, anaiba mazao ya shamba jirani. Ila huwa hawataki kuona tofauti ya kuandaa shamba, kupanda, kuweka mbolea, kufanya palizi n.k.
 
Kwahiyo unaamini uwezo wa akina Pacome, Yao, Bacca, Aucho, Azizi ni uwezo wa kishirikina na sio mpira halisi?
 
Bullshit ...
 
Ujinga tu
 
Vipi kuhusu ile barua uliyowaandikia waarabu Msipotuliza vichwa hivyo mtahama viwanja vyote naona unaanza kampeni za Lupaso kama ilivyokuwa Azam
 
Watasema Yanga imeiba "nyota" ya Simba!
Wengine ambao tunaangalia mambo kwa undani na tunajua mambo mawili matatu kuhusu undani wa hizi timu, hili suala tulishaliongelea toka mwaka jana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…