Mambo 10 Niliyoyaona Jana Nusu Fainali Inter Milan vs Barcelona pale Giussepe Meaza

Shabiki wa makolo akiropoka pumba
 
Bandiko limeshiba...Ngoja Barca & Uto waje na Mapovu yao.
 
Uchambuzi wa kiwaki wa Mariam Ndalandefu.
 
Uku kwetu sasa
 

Attachments

  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
Siku zote waitaliano si watu wa kucheza mpira wa kupaka, ni watu wa mbinu sanaa halafu ni watu wa kazi, nani aliyemuona Nicolo Barella?, utadhani kama anazunguka tu uwanjani dakika zote 120 lakini si mchezo hapo kati kati ya uwanja.
 
umeandika mambo kumi au makala?
 
Uku kwetu sasa
Safi sana simba walitumia akili sana siku ile, maana mashabiki wa uto msivyo na akili na mnavyopenda kujitoa fahamu, mngewafunga mngejisifu kwamba mmewafunga sababu mna timu bora na si kwa sababu simba walikosa wachezaji wake muhimu, subirini kikosi chao kitimie nendeni uwanjani mkacheze nao wakiwa full mkoko kama ninyi kisha mkiwafunga hapo ndio mtambe, siyo mnawafunga kwa kuhonga wachezaji wao au mnawafunga wakiwa na kikosi kipya wanajenga timu halafu mnatupigia kelele mna timu bora ila mkienda kimataifa hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…