Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma.
2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma Jiji kama sio uzoefu mambo yangekuwa magumu leo
3.Fahdu akubali kuwa mechi za ugenini ni za akina Chasambi, Awesu, Balua na wazawa wengine
4.Steven Mukwala leo amenidhihirishia kuwa dirisha dogo anarudi kwao bila chenga
5.Kama tutaendelea kucheza kwa mbinu zile zile tutaendelea kudanganyana kuwa tunatafuta muunganiko
6. Kumtoa Kibbu Dennis kumesaidia sana Dodoma kuishambulia Simba leo kwani Ateba alibakia peke ake
7. Ningekuwa mimi leo ningeanza na viungo Ngoma, Mavambo, Kibbu, Chasambi, Awesu badala ya Mukwala na Ahoua
8. Wana Simba tuwe wavumilivu hadi Mpanzu atakapoingia dirisha dogo kwani hawa viungo wa pembeni ukimuondoa Kibbu ni wazinguaji kinoma
9.Kama tusingemsajili Ateba na tungeendelea na Mukwala tungekuwa na Wakati mgumu sana msimu huu
10. Kwa kweli Kazi kubwa inatakiwa kufanyika katika kuijenga hii timu ili ifanane na ile Simba ya marehemu James Sianga.