Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Mchezo ulikuwa mzuri isipokuwa wachezaji wetu wana fatigue na huu mkakati tuliowekewa wa kucheza baada ya siku 2 nna uhakika tunaenda kudondosha point hasa kule mkoani vs Mashujaa lakn mungu atakuwa upande wetu
2. Kipa wetu Camara amekamilika sana nadhan kiongozi mmoja alipomuita 3 times hakuwa na nia mbaya isipokuwa alimtaka aongeze umakini tu maana Simba sio Kuku
3 Dah Shomary Kapombe ameubonda sana leo amenikumbusha enzi za marehemu Raphael Paul ama RP
3 Valentino Nouma anahitaji kucheza sana ili awe na ubora maana amecheza vzr lkn sio kwa kiwango cha kumtisha Tshabalala
4. Che Malone Fondoh anacheza vizuri sana lkn ana dharau fulani hivi ambazo Inonga alikuwa akizifanya na kutuudhi hadi kesho, akumbushwe
5 Chamou Karaboue bado mzito sana jambo ambalo ni hatari huko mbeleni tuendako
6 Fabrice Mwamba Ngoma ameamua kuwa serious baada ya kuona dharau, benchi na kutemwa dirisha dogo kunamnyemelea, piga sana pasi za upendo leo
7 Joshua Mutale kwa heri dirisha dogo
8. Augustine Okajepha kumbe kiungo wa chini huwa wanakuonea t, pambana hivyo hivyo tutamsahau muda c mrefu Fernandez
9. Mukwala amesumbua sana lakn Simba ni timu kubwa, tunahitaji mastriker aina ya Leonel Ateba, hajashawishi bado
10. Pole sana Awesu Awesu, mimi bila kukuona dimbani pale unyamani sina raha, kama kuna mtu anamroga ajue Zanzibar ndiko dini ilipoanzia, itapigwa Kurujuan mtatafutana wenyewe