Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ndugu tujitahidi sana kula vyakula vya kujenga mwili ili tupate virutubisho vyaAsante mzizizimkavu. Somo zuri. Swali: 1. Kipimo cha kupumzika tutakijuaje?
2. Virutubisho kwa mfano?
Angalia picha yake hapo chini..............Coriander juice ndo Ikoje hii?
Angalia picha yake hapo chini..............
hiyo coriander juice nitaiweza kweli kama tu ikiwekwa kwa mboga kama spice nashindwa
,kisutu,k/koo kama upo darDr Mzizimkavu,hii kitu inapatikana wapi?
insulin yaitwaje kwa kiswahili?
Unatakiwa upumzike kwa muda wa masaa 8 kila siku kwamfano unalala saa 4 usiku unamka saa 12 asubuhi ndio vizuri sana kwa afya yako.sasa kaka yangu naomba unisaidie kuhusu
unatakiwa upumzike kwa masaa mangapi
kama wewe ni mfanyakazi/mfanyabiashara
na huna muda wa kupumzika ufanyeje