Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

Somo zuri sana, lakini tunaopunguza mwili tunaambiwa kadri tunavyokuwa tupunguze vyakula vya wanga na kuongeza kula protain, sasa nyama si ni protain?
 
nazaidi ya 4 yrs sijawahi lala zaidi ya Massa 5 sasa kama ndio hivyo simajanga haya niki jumlisha work +zoezi asubuhi ndani ya 2hrs kila siku bila kupumzika .
lakini chakushangaza mwili ushazoea mbaya .
nikianza kulala 8hrs nitakuwa ----- like kuku wakienyeji
 
vipi kuhusu "kunywa pombe kupita kiasi" ni kiasi gani cha pombe kinakua considered kua ni kupita kiasi ktk human body?
 
Asante Dr mzizimkavu Mungu akujaalie ufahamu zaidi na zaidi
 
Dr mzizimkavu,Na kwa wale wanozidisha masaa ya kulala kuna madhara gani? Mana mi na lala masaa 8 kawaida ila mchana pia nalala masaa 2,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…