Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Deo Filikunjombe! "Alitaka Kuwa Padiri", "Ni Mgonjwa wa ...!.

Pumzika kwa amani Deo. Mungu aipe faraja familia yako. Wana Ludewa wanakulilia na Watanzania tunakulilia. Wewe ni mfano wa viongozi kwa vitendo. Nawafikiria wale wa jimboni kwako jamani, ulikuwa pamoja nao tena si kwa kinafiki bali kwa kumaanisha! R.I.P Deo
 

Daah sikujua kama Pasco una dharau kiasi hiki teh teh teh diva ni ma.....ya teh teh teh na kibonde ni mtangazaji mjinga mjinga teh teh !!
 
Last edited by a moderator:
pole sana kamanda pumzika kwa amani na imagine kuungua huku unajiona daah! mwenyezi MUNGU utunusuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…