Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363

i. Kutokojoa mapema mkojo uki kushika
ii. Kuto kunywa maji ya kutosha
iii. Kula chumvi nyingi sana kwenye chakula.
iv. Kutokujitibu magonjwa ya kawaida kama vile mafua kwa haraka na vizuri
v. Kula nyama sana
vi. Kutokula chakula cha kutosha
vii. Kutumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi
viii. Kutokula kwa wingi vyakula vya virutubisho
ix. Kunywa pombe kupita kiasi
x. Kutopumzika kiasi cha kutosha.
CHANZO.MAMBO 10 YANAYOHARIBU FIGO LAKO JIEPUSHE NAYO UTAKUWA UPO SALAMA.