Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
i. Kutokojoa mapema mkojo uki kushika
ii. Kuto kunywa maji ya kutosha
iii. Kula chumvi nyingi sana kwenye chakula.
iv. Kutokujitibu magonjwa ya kawaida kama vile mafua kwa haraka na vizuri
v. Kula nyama sana
vi. Kutokula chakula cha kutosha
vii. Kutumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi
viii. Kutokula kwa wingi vyakula vya virutubisho
ix. Kunywa pombe kupita kiasi
x. Kutopumzika kiasi cha kutosha.
CHANZO.MAMBO 10 YANAYOHARIBU FIGO LAKO JIEPUSHE NAYO UTAKUWA UPO SALAMA.
Namba tano inaathari kivipi mkuu?
Coriander juice ni Majani ya Gilgilani unatengeza juisi yake unayakata kata kisha unatia ndani ya mashine ya Blenda na unaweka kidogo maji kusaga inakuwa juisi unakunywa yanasaidia kusafisha Figo. Au Majani ya Parsley pia yanasafisha Figo lako ukitengeneza juisi na kunywa asubuhi kabla ya kula kitu kila siku. Kwa muda wa siku 7 au siku 14 au siku 21.Coriander juice ndo nin mheshiniwa (kiswahili tafadhali)
Namba tano inaathari kivipi mkuu?
Mkuu Gide MK (ix. Kunywa pombe kupita kiasi) Kuathiri Figo na ini mwilini mwako?Hiyo no Tisa ingefafanuliwa zaidi
@MziziMkavu, hii haijalishi namna ya hii nyama inavyoandaliwa sio? Mishikaki, roast, supu, kichuri nk
v. (Kula nyama sana) Kula nyama sana nyama ya Ng'ombe ina madhara ukila sana inaweza pia kuathiri figo lako ukila nyama ya ng'ombe kwa wingi kupita kiasi.