Mambo 11 usiyoyajua kuhusu msanii Diamond sukari ya warembo

kumi na mbili mbona haujaiweka
12. uchawi umemsaidia sana kufahamika na kupendwa na mabinti japo hana uwezo kihivyo wa kuimba kama ben pal na steve r n b
 
rick ross analipwa around 15k -30k usd...nadhan umeshaelewa nachomaanisha mkubwa...
 
Diamond mwacheni afanye yake watz roho za korosho Sana, Mtu akifanikiwa kidogo utasikia unga Freemason, mijitu mingine Kama haikukanyaga shule, acheni roho za kutu, na kanumba ilikua hivo hivo ohh Freemason mara English mbovu nyie mnaojua kikristo mbona hata m10 bank hamna! Roho mbaya Kama misaga sumu,,
 

hatukatai kua na hela ila usitukataze kukwambia jinsi ulivyopata hela zako kama tunajua
 
hatukatai kua na hela ila usitukataze kukwambia jinsi ulivyopata hela zako kama tunajua

Wabongo ndio tulivo!! Kama unajua anabemba sembe si uthibitishe tena mbele ya polisi?! Acheni hizo dogo anajituma na mungu kamuonyeshea mkono wake!! Hakuna cha unga wala udongo, tuache kua viwanda vya kuzalisha uongo!
 
Mwenye mawasiliano na Diamond anipe jamani.
Nina zawadi yake nzuri.
 
data zaweza kuwa za ukweli. ila zaidi ya shs, billion 1 kwenye akaunti sizanii.
 
nshawin tiari sitaki mengi zaidi im satistified with what i have ila ata siku moja huwezi kuniona magogoni kwenda kuchukua hela za kubeba sembe USA under umbrellar of ccm, simplest and narrow minded.

maneno ya mkosaji! pole
 

we nawe muislamu mwenzangu umechemka! kama umeishia madrasatul bin Laden's acha kuingiza udini. diamond anapendwa zaidi na wadada tena wengi wao ni wakristo na baadhi wamediriki kubadili dini kumfuata. .. ndg zetu wakristo nawaomba msamaha kwa ajili y ndg yng wa madrassatul
 
wewe hukuelewa maana ya kikristo!! maaana yake English mie wala siwazi mambo ya udini kwanza mi sio Islam
 
so what?....who care?...i don give a dem.
 
Umejuaje????
 
diamond ana nini cha ajabu cha kumfanya alipwe 25000 usd per show? au ndo wale anaowabebea sembe wananunua show zake ili aonekane wa gharama hivyo? hakuna promota wa kutoa 120000 usd kwa ajili ya show ya diamond, amekuwa jay zee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…