Mambo 11 usiyoyajua kuhusu msanii Diamond sukari ya warembo

Hupendi? Hutaki? Huamini? Wacha vijana wanaojituma wale matunda yao

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Im sooooo proud of Diamond.
I cant wait siku moja kumuona akipokea tuzo za mtv music award sambamba na akina justin Bieber.
Inawezekana.
hapa aisee weka replay, manake haijachezeka vyema hii.
 

alimaanisha kiingereza ,sio kila muda tunafikiria vibaya kuhusu imani tofauti , I hope utakuwa umeelewa.
 
huyu mtu mapenzi yame mu affect sana
 



Hapo kwenye #5 mkuu naona unatupiga Kamba za USO vaba,,,ye mwenyewe kapanga hapo Sinza Mori au na ile kajipangisha? All in all jamaa anajua
 
Huyu Kijana anavyozungumziwa utadhani ndiye Rais wa nchi hii.
 
umesahau moja kuwa ni mbeba sembe mzuri ndio umuingizia hela nyingi sana.


Hii alifanya sana mwanzo kabla ya kutonywa, ila wasanii wengi sana kipindi kile walivuta pesa za hajabu maana before kulipuliwa walikuwa kila kukicha wako South Afrika hata wale waliokuwa one hit wonder eti nao utawasikia nimepata mkataba kupiga show nje, kwa muziki upi au nyimbo gani?
 
Hongera mtoto wa Tandale .....Maisha Bana ni kitu kingine .....kabisaaa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…