AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
uliona mo dewji akilishwa keki?uliona viongozi wa simba wakipungia mashabiki mikono,uliona jinsi watu walivyojazana kwa kutulia kama hivyo,uliona jinsi kichuya alivyokuwa akiwatesa mabeki wa leopard?Lipi tukio la maana kati ya haya ambalo unahisi tulitakiwa kuliona ila tv zetu hazikulionesha(kama ulivyosema)
KULIKO KUSHINDA?Simba ingefungwa ndio ingekuwa jambo la maana
Ingawa mimi ni Mwanachama wa Simba, ile timu ya AFC Leopards ni ya tisa kwenye ligi ya Kenya. Mwakani wailete Tusker, Gor Mahia, Mathare au Ulinzi.Simba ingefungwa ndio ingekuwa jambo la maana
MIE NADHANI MKUU WANGEKUWA WANAZIALIKA TIMU KUTOKA AFRIKA KASKAZINI AU KUSINI KULIKO HIVI VITIMU VYA HAPAHAPA A MASHARIKIIngawa mimi ni Mwanachama wa Simba, ile timu ya AFC Leopards ni ya tisa kwenye ligi ya Kenya. Mwakani wailete Tusker, Gor Mahia, Mathare au Ulinzi.
Summary - Premier League - Kenya - Results, fixtures, tables and news - Soccerway
walintanganywa pointi baada ya kufanta fujo baadhi ya michezo yao ndiyo maana wako nafasu hiyo vile vile mechi za kirafiki hilo siyo issue sana ndiyo maana tulucheza na timu yavkunondoni na ndiyo maana Tanzania tulicheza na Brazil...Ingawa mimi ni Mwanachama wa Simba, ile timu ya AFC Leopards ni ya tisa kwenye ligi ya Kenya. Mwakani wailete Tusker, Gor Mahia, Mathare au Ulinzi.
Summary - Premier League - Kenya - Results, fixtures, tables and news - Soccerway
Hayo ndo mambo ya maana Mo kulishwa keki?uliona mo dewji akilishwa keki?uliona viongozi wa simba wakipungia mashabiki mikono,uliona jinsi watu walivyojazana kwa kutulia kama hivyo,uliona jinsi kichuya alivyokuwa akiwatesa mabeki wa leopard?
What hapebed to ile timu ya Angola mliyosema inakuja?Ingawa mimi ni Mwanachama wa Simba, ile timu ya AFC Leopards ni ya tisa kwenye ligi ya Kenya. Mwakani wailete Tusker, Gor Mahia, Mathare au Ulinzi.
Summary - Premier League - Kenya - Results, fixtures, tables and news - Soccerway
waliogopa kufungwaWhat hapebed to ile timu ya Angola mliyosema inakuja?
EHE,WE HUJUI NDIO MWENYE TIMU HUYO KWA SASA?Hayo ndo mambo ya maana Mo kulishwa keki?
So wht?why is that exceptional?EHE,WE HUJUI NDIO MWENYE TIMU HUYO KWA SASA?
hapebed=happened?What hapebed to ile timu ya Angola mliyosema inakuja?
we waonaje?So wht?why is that exceptional?
tratratra hahahahaha,hatarihapebed=happened?
Mhh, hiki kiingereza ndo kile cha Jerry Murro alichosomea majuu?
Ratiba yao ilikuwa tight ukizibgatia umbali wa tz na kwao...What hapebed to ile timu ya Angola mliyosema inakuja?
Hamkuyajua hayo before?Ratiba yao ilikuwa tight ukizibgatia umbali wa tz na kwao...
Naona una akili tatuwe waonaje?
halikuwa jukumu letu hilo..Hamkuyajua hayo before?