Mambo 21 ya kufanyiwa marekebisho ya kisheria katika mchakato wa Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani

Naunga mkono hoja.
 
Nashangaa hii sheria imekamata wagombea wa wapinzani tu... yaani wana CCM wote Tanzania nzima Ubunge na Udiwani wao wamesomea shule tofauti na hao wengine siyo!!

Unajua hata ukiwa mwizi basi iba kwa akili..mambo mengine ni kujiaibisha bure.
 
Sheria ambazo zinatakiwa kurekebishwa, zinarekebishwa na bunge. Sasa ukiangalia kwa haraka haraka tu hivi vyama ambavyo ni vya ukoo au vilianzishwa tu kwa sababu ya uroho wa madaraka haviwezi kuwa suluhisho. Kwa wepesi zaidi angalia hawa viongozi, Tundu Lisu, Zito Kabwe, Mbowe, Seif Sharrif Hamad etc. wametawaliwa na uroho wa madaraka na kujiona wao ndio bora kuliko wengine na wao ndio wanafaa kuongoza Tanzania. Je, hilo linawezekana kweli kwenye karne hii tuliyonayo? Zito na Mbowe na Maalim pamoja na kumwaminisha Tundu Lisu kwamba wao wanaweza kuwa viongozi wa juu kabisa kuongoza Tanzania? Hizo ni ndoto za mchana kweupe, mnatakiwa muondokane na huo mtindio ubongo ambao mnalishwa peremende na wajinga wenzenu kutoka nje na kufikiria Tanzania ni shamba la bibi.

Upinzani wenu hauna tija kwa walipa kodi wa nchi hii. Huwezi kumwaminisha Mtanzania wa leo hii ati ndege hazina faida au SGR haina faida. Huwezi kumwambia Mtanzania wa leo hii ati Hospitali sio muhimu au shule zinazojengwa hazina manufaa. Tanzania ya leo sio ile ya waliosoma kwenye ngumbaru na kudanganywa na soda pamoja na juice. Watanzania wanafahamu fika Chadema walikuwa wanapata ruzuku kiasi gani kwa mwaka na wanafahamu nani alikuwa anakula hizo pesa.

Vyama vya upinzani vimekuwa ni nyenzo tu ya watu wachache kujitajirisha na sio kupigania maslahi ya Tanzania. Until that happens Tanzania hakuna atakayeiondoa CCM madarakani. Hili linajulikana na wapinzani na hata makuwadi wenu wa nje. Hakuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anayeweza kumvumilia Mbowe, Zito Kabwe, Seif Hamadi etc.

FYI Tanzania ni nchi pekee kwenye ukanda huu ambayo raia wake sio wajinga wa kuburuzwa maana wanafahamu kwa undani nini kinapikwa jikoni, kama hamfahamu hilo basi nyie sio Watanzania.
 
Very good analysis , maccm na mhutu a k.a Mr Mayanga sijui kama atakubali awareness inahitajika Sana Ili haya yadaiwe na people's power.
 
Mwenyekiti wako Mhutu a.k.a Mr Mayanga yeye yukoje? laanah tulilai .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…