Mambo 3 ya kuzingatia katika biashara

Mambo 3 ya kuzingatia katika biashara

Mr sule

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2021
Posts
606
Reaction score
1,110
Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida.

Kuna aina mbili za biashara.
Biashara ya kuuza bidhaa na biashara ya kuuza huduma.

Twenda moja kwenye mada, mambo gani yanafanya biashara iweze kuendelea kuishi na kukua.

Zingatia mambo haya matatu katika biashra.

Msaada wa kifedha
Katika biashara kitu cha kwanza kuzingatia ni uchumi wako,(mtaji). pesa ni sehemu muhimu ya kuzingatia kwasabu pesa ndio inafadhili kila unachokifanya. kuwa na business plan bila pesa hakuna kitu kitakachofanyika maana kila kitu kiende kinahitaji pesa kuanzia ngazi ya vifaa mpaka wafanyakazi.

Ukiwa na wazo la biashara alafu huna hela hakuna kitakachofanyika maana hata kusajili tu kampuni brela unapaswa kuwa na pesa.(mtaji).

Masoko
Unapafanya biashara au unataka kutoa huduma yeyote hile ni vyema huwe unahuakika wa soko lake kabla ya kuleta bidhaa au kutoka huduma husika, masoko namaanisha wateja yaani watu wenye mahitaji na kile unachotaka kufanya. ni vizuri kutoa huduma ambayo watu wanaokuzunguka wanahitaji, kuna masoko ya muda mfupi na muda mrefu kulingana na huduma au bidhaa unayouza. mfano wa masoko ya muda mfupi ni kama vile kwenye corona watu wanahitaji mask. na masoko ya muda mrefu ni mfano watu wanahitaji kula kila siku.

Jifunze zaidi jinsi ya kufanya market na namna ya kutarget market, kwa wakati upi unastahili kufanya hili na wakati gani unastahili kufany lile. Elimu zaidi inahitaji hapo juu.

Bidhaa au huduma bora
hatua hii ya mwisho ni baada ya kupata wateja sasa unataka waendelee kutumia bidhaa zako. Ikiwa tayari una wateja wako, utahitaji mteja arudi tena, ili kufanya mteja arudi tena baada ya kumshawishi kwenye hatu ya pili, sasa hatua ya tatu ya kuzingatia na aina ya bidhaa au huduma unayotoa, kuwa na bidhaa au huduma ambayo itamfanya mteja wako arudi tena, kama unataka mteja arudi tena, njia pekee ni kutoka huduma itakayomridhisha kwa maana huduma nzuri au bidhaa nzuri.

NB: katika biashara yako zingatia, pesa kwa maana ya kuendesha majukumu au shughuli husika, wateja kwa maana kuwa unachoenda kufanya tayari watu wanakihitaji, huduma bora kwa maana kumfanya mteja ulimpa huduma kwa mara ya kwa aweze kurudi sana.

Asante.
 
ulichokisema ni kweli na kwenye mtaji sio mpaka uwe na mamillioni ila kidogo tu unaanza
 
Mkuu salama? Kwa unyenyekevu mkubwa naomba upitie Uzi huu (Link).
Nina ombi moja....
 
Title ilitakiwa iwe kabla ya kuanza biashara..

Katika biashara nilijua Utaingia deep zaidi kueleza namna ya kuongeza wateja, kulinda ulionao, kuongeza thamani ya unacho deliver n. K..

But Hivyo vitu juu unatakiwa uzingatie kabla hujaanza biashara, lazima uwe na pesa, uwe na bidhaa/huduma (kichwani) then ulijue soko.. Otherwise you Will go no where!

Thanks
 
Back
Top Bottom