Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono

Mzee mwenzangu Ziroseventytwo uko sawa ngoja na mimi nipigilie nyundo
1.Kazini kwako kila mtu anakuita mzee na hakuna tena mwenye hadhi ya wewe kumpa shikamoo
2.Binti yako wa kwanza mnafanya kazi sehemu moja au hata tofauti na mnaingia geti moja
3.Mtaani kwako mambo magumu unapewa wewe mfano kamati ya maafa au kamati ya maadili ya vijana
4.Ghalfa unatokea kupendwa na vibinti vidogo unaweza kuvizaa si lolote si chochote ila sababu wanajua huna mambo mengi ule usemi kazi kidogo mshahara mkubwa zaidi ya yote wanajua umemaliza majukumu umejenga umeshasomesha una usafiri na mafao yanakaribia hapa ni kuwa muangalifu sana.
5.Unapewa heshima nyingi mno hata ukipanda gari unakuta kijana jitu zima kwa umbo kuliko wewe linakupisha kiti.
 
Aisee umezeeka mkuu
 
Huko siyo kuzeeka, ni kujitambua. Hata vijana wa miaka 25 waliojitambua wanafanya hayo.
 
Aisee umezeeka mkuu
umefanya nicheke uliyosema ni ukweli mtupu
kazini kwangu vijana mambo yakiwashinda wanakuja kuomba msaada wa kwenda ku m convince boss kupitisha jambo flani boss anajua mzee hawezi danganya maana boss mwenyewe unakuta unaweza mzaa
 
31. Kuacha kupiga punyeto (kujichua) kwa jinsia ya kiume.
32. Kuacha kabisa kuangalia picha za ngono.
33. Mikopo isiyoisha + salary advance.
 
Mimi nimeanza kupambana na mviii kama kassimu majaliwa majaliwa..

Hizi za kwenye kidevu nimepambana sana ila kwa Sasa nimekubarii hali umri umesonga sana..
 
Copy paste ya old post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…