Elections 2010 Mambo 5 atayofanya Mh Slaa siku 30 baada ya kuwa Rais.

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,175
Reaction score
2,294
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

1. Atafutilia mbali sheria ya Rais kugombea vipindi viwili tu (ili ajihakikishie kuwepo madarakani mpaka anakufa.

2. Atafunja Bunge na kutawala na mawaziri tu (hoja yake: Bunge linakula pesa ambazo zingewasomesha wanafunzi bure, na kwamba kichwa chake pekee kinatosha kuongoza nchi)

3. Atasitisha pesa za kujenga miundo mbinu ili atoe elimu bure na pesa nyingine ziende kutoa ruzuku kwenye saruji ili kupunguza bei ya saruji.

4. Atachapisha pesa nyingi ili kutoa ukatu na umasikini Tanzania kama alivyofanya Idd Amin.

5. Atavunja vyama vyote vya siasa, kwani yeye huwaita watanzania MAMBUMBUMBU hivyo haoni kwanini kupoteza pesa kvihudumia vyama vya siasa (ruzuku) na kugharamia uchaguzi wakati yeye ni rais wa maisha.

Hizo ndizo ahadi za huyu Mh Slaa. Samahani, kwani sioni jina jingine la kumwita zaidi ya DIKITETA. No, wala sio auktoritet bali ni DIKITETA.

Unahitaji hayo!! basi mchague Mh Slaa, Vinginevyo una uchaguzi mwingine CCM.

5.
 
Mmmh, hayo unayosema ndiyo Slaa anayofikiria au ndio yaleyale ya woga usio na sababu?
 
Hizo ahadi alizitoa wapi na lini? chanzo tafadhali.
 
aah hapa bado hujanipata, hebu njoo na lingine labda kwa mbaaaaaaaaali nitakuelewa
 
mawazo yako ni mzigo!!!
 
Umesahau kuwa ana kesi ya madai mahakamani.... Hivyo ana deni la kulipa
 
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

Ndivyo alivyokwambia? ,mlikuwa mmejificha wapi na mnafanya nini?
 
pamoja na kukiri kuwa Slaa ataingia ikulu na kuanza kuiongoza tz msaada hapo kwenye red
 

may your life be like a toilet paper......long and useful
 
mawazo yako ni mzigo!!!

Ni kweli, huyu Mh mawazo yake ni mzigo kweli kweli.

Kwasababu anayoyafikiria yataiangusha nchi yetu. Waingereza walimcheka Nyerere, kuwa anatoa elimu na matibabu bure katika nchi masikini kama Tanzania. Waingereza waliona ni muujiza, na kama ukitokea basi hata wao watafanya hivyo.

Lakini wapi na wapi, mpaka Ng'ombe akaanguka chini, na watanzania hao hao wakaanza kumlaumu kuwa miaka 30-40 hujaongeza vyuo vikuu wala hospitali, bila ya kujua kuwa hayo ni matokeo ya Elimu bure.

Sasa huyu DIKITETA KWELI ATAWEZA?
 
No Zawadi Ngoda ni zaidi ya KENGE... pure & simple, zawadi 101% = KENGE refer her prevoius posts, vuvuzela huwa linapulizwa, huyu kasha PULIZWA, vuuuuu.... puupuuu....
31 oct akijaa atapasuka Pwaaaaaaaaaaah
 
No Zawadi Ngoda ni zaidi ya KENGE... pure & simple, zawadi 101% = KENGE refer her prevoius posts, vuvuzela huwa linapulizwa, huyu kasha PULIZWA, vuuuuu.... puupuuu....
31 oct akijaa atapasuka Pwaaaaaaaaaaah
kWELI NITAPASUKA, maana nchi yenyewe ITAPASUKA kama huyu Mh DIKITETA atashinda. WEWE angalia hayo mambo 5 ambayo ndio mikakati yake ni sawa na zile janja za akina Museveni. Eti waafrika hawatakiwi kuwa na vyama vingi.

Hawa marais wako kundi moja: Museveni, Mele Zinawi, Lukashenko, Fidel Kastro na huyu mh Slaa anamawazo kama ya hao.

Mungu tuondolee balaa hili
 

ebwana shehe yahya anaendeleaje kule "hospitali"?
 

Sa weye ni katibu wake? ama umeyajuaje haya?
 


Zawadi Ngoda haya ni mawazo yako yatokanayo na tafsiri ya kile udhanicho unakisikia kutoka katikati ya hotuba makini za Dr slaa.
Huu ndo Uhuru wa kusema chochote utakacho ili mradi huvunji sheria. Ulichokisahau hapo ni nukuu kadhaa kuthibitisha ni lini na katika mkutano upi Dr Slaa alisema maneno hayo.

Zile Ahadi za JK kwamba atageuza Kigoma kuwa Dubai kinyume chake ni nini? Atageuza kigoma kuwa jehanamu ya Duniani?

Mkiimba juu ya AMANI NA UTULIVU maana yake ni nini? Vita na Sngombingo?? Nimejua Janja yenu ya nyani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…