Elections 2010 Mambo 5 atayofanya Mh Slaa siku 30 baada ya kuwa Rais.


Wewe wasema:
angalia kwenye nyekundu.

"Hapa naona umeshikwa na Mfadhaiko hujui wapi uchome ujiku. Hesabu zako zote zinakutuma kwamba wale ulokuwa ukiwaringishia nyumba yako ya fedha haramu si muda mrefu nao watasimamisha vibanda vyao na ulimbukeni wako utakoma. Swala nikuondoa Kodi, siyo kutoa fedha kutoka mfuko wa mmoja na kuziweka mfuko mwingine."

Sasa akiondoa kodi, hiyo pesa aliyoahidi ya kusomesha wanafunzi bure atapata wapi? Hebu tufafanulie hapo, maana ninachojua mimi bajeti yeyote ile ya nchi inabase kwenye kodi.
 

Tatizo la madrassa hili , kuelewa inakuwa kazi sana
 

huoni kwamba hizo ni sifa nzuri na anaonyesha kuwajali watu wa hali za chini?? Kwani hujui kwamba akiwapa watu elimu bure ndo watapatikana wahandisi wa kujenga hiyo miundombinu??
Wewe unafaidika vp na hilo bunge?? Kutunga sheria au kuchuma pesa?? Mkuu nashukuru kwa kumuona dr. Slaa kuwa anajali wanyonge.
 

Hawa ndio CHADEMA!!!

NO COMENT!
 

Hebu wacha gere na ulimbukeni wako wewe. Ndio ulivyotumwa hivyo na CCM uje utuambie hapa sio? Na wewe kutimia chembe ya busara ukau chukua ujumbe kama ulivyo unakuja kuji adhiiri kwa kumwagia hii non sense hapa. Haya bwana endelea kupiga zeze...umeanza wewe sisi twamaliza bora tusielewane vibaya.
 

AHH! Bwana we!!
Hata kama unalipwa kuandika haya ni bora ukalinganisha thamani ya fedha unayolipwa na utu wako. Unajua ukizoea kufikiri na kuandika utumbo hata kama unahisi kwamba hinyo si jinsi ulivyo ila ni katika kutumikia ajira yako, taratibu utajikuta unageuka kuwa mpuuzi kutokana na kufikiria upuuzi muda mwingi. Kumbuka law of use and disuse, ukiinoa akili yako katika upuuzi hakika baada ya muda utajikuta umegeuka kuwa mpuuzi kweli.

Unakumbuka mchekeshaji maarufu Mr. Bean alijinyea jukwaani mbele ya Malkia wa Uingereza kwa kuendekeza masihara. Hakupenda ila alijikuta imetokea kwa sababu ubongo wake ulishachakachuka.

USHAURI:
Fikiri na fanya kile ambacho utu wako wa ndani unakusukuma kufanya, dont act contrary to your conscience.
 
Zamani nilipokuwa shule nilifundishwa kuwa ukibishana na mjinga watu hawataweza kutambua mjinga ni yupi. Kwa ajili hiyo nimeamua kukaa kimya ili wana JF watambue kwa urahisi mjinga ni yupi.
 
Mbona sauti za Mbwa KOKO zimezidi humu? Kama hamuwezi kupandisha MIKIA yenu si mkae kimya tu na mkimbilie kwa mabwana zenu. Haya mawazo mgando hayawezi kuturudisha nyuma hata siku moja. :nono:. HATUDANGANYIKI 2010
 
Watanzania wengi sio kuwa hatuna elimu tatizo mi ufinyu wa kuelewa, kama huyu mwenzetu naona bado yupo karne ya 18. Najuta kuzaliwa tanzania.
 
Tatizo la madrassa hili , kuelewa inakuwa kazi sana

Hausaidii chadema kwa mtazamo wako mchafu. Unaonyesha ubaguzi wa dini, wewe na mtandao wako wa chuki za kidini you are not standing for Chadema. Nyie ndio mnaharibu harakati za Chadema. You need help!
 
Tatizo la madrassa hili , kuelewa inakuwa kazi sana
Mwafrika,
huyu Zawadi Ngoda ni msomi mwenye kujua sana sheria, kasoma vizuri kabisa, lakini tena kachagua kuwatumkia mafisadi; kasahau hata kwao kuwa wanahitaji elimu bure. Nyuma ya Zawadi Ngoda kuna fundamentalist amaye anamchanganya akili. She is now impaired!
 

I like it!

Lakini nakwambia moja la msingi; Hata usiposoma au kuwa msomi kama ukipenda, utemuelewa Mh Slaa kuwa ni muongo.

Katika siasa kuna vitu viwili:

1. Kuna wale wanaohitaji kuingia madarakani kwa gharama yeyote ile na kusema kile watu wanachopenda kusikia; kwa lugha ya kigeni huitwa 'POPULIST'

2. Kuna wanasiasa wanachowaambia watu kile wanachopaswa kusikia, hawa ndio wajenga nchi au wenye vision.

Chemsha bongo na starehe
. - Hivi Mh Slaa unavyofikiri wewe yupo kundi gani kati ya hayo 2.

Kwa kukusaidia, mwanasiasa makini ni yule anayewaambia wananchi kile wanachopaswa kusikia, na sio kile wanachopenda
kusikia.



Jibu la Chemsha Bongo: Mh Slaa yupo kundi No 1.
 

6.Kupora na kuzini na wake za wenzie(Hili ulilisahau,tumekukumbusha) hivyo kuwa makini na changudoa wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…