Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
1. Refa ni wa simba
Mpira wetu matokeo tunapanga sana. refa katumwa na simba washinde mechi. shame ila alikwau na maelekezo
2. Magoli yote offiside ya simba.
Kibendela nae katumwa. yani hii ligi refa ni alajiga tu. wengine wote ni wezi. sio kwamba quality awana ila wanatumwa. kitu awajui . they miss big money in caf
3. Azam FC na Simba sio derby
Why, bosi wa azam fc anawatuma azam fc kwenda kufungwa na simba. the last time they win ni 2022. kila mechi lazima waachie game. washinde. azam wamewapa free chance 5 za kufunga from defence mistake alone.
4. Wachezaji wa Azam FC wakubwa by January wataondoka wote.
Why nimeona frustration ya wachezaji kisa kupanga matokeo. which is bad
5. Simba wanajua kukaba tu. ila pasi awajui.
that's what I saw. amna kipya
6. Huyu kocha wa Azam FC ataondoka mapema sana. a
7. Wachezaji wa Azam FC wamecheza kichovu sana sana.
8. TFF na Kalia. ni muda sasa watupishe . its possible wamepanga matokeo ya hii mechi, wakijua refa alajiga anakuwa caf
9. Mpira ulikuwa mbaya kama sio derby. wastage of money and time
10. Azam FC sio timu serious. mashabiki wake wote ni wajinga wajinga kushabikia timu ina panga matokeo ya derby na simba kila mwaka.
Soma Pia: FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024
Azam fc yangu ni matapeli.