Mambo 5 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Amani

MOSI RAIS WA TFF HAITWI "KALIA" PILI HAKUNA REFA WA TANZANIA ANAYEITWA "ALAJIGA" ACHA KUHARIBU MAJINA YA WATU, TATU NI KWELI TFF NA BOSI WA AZAM WANAISAIDIA SIMBA KUSHINDA NDIO MAANA HATA MECHI NA AL AHLY TRIPOLI SIMBA WALIHONGA HELA ILI WASHINDE.
 
Mbona unajichanganya,mara azam wabovu,mara simba kabebwa,sasa simba ikutane na timu inayomtegemea fei toyo ti imuache
 
Kama inauma chomoa...uzi wako ni takataka
 
Baada ya Simba kufunga maduka vilio vimeanza mapema sana.
 
Rafiki yangu pamoja na madudu ya refa Ely sasii ambaye tunajua uwa ni mnazi wa Simba lakini Azam pia kwa namna wanavyocheza kwa sasa ata wangecheza kwa mwezi mzima iyo mechi wasingepata chochote, angalia defence yao, angalia safu yao ya ushambuliaji ni ovyo kabisa, ata wakicheza na timu ndogo wanaangaika kufunga magoli, wenzao wanacheza objective football wao wanacheza Mpira wa kuposes tu ambao auna faida yoyote!
Ilikuwa ngumu jana kuona Azam watafungaje goli kwa style Ile ya uchezaji, mapungufu yao ni mengi sana, na wanapochezaga na Simba uwa mapungufu yanaongezeka maradufu mpaka unashangaa, wanacheza kama timu ya daraja la tatu uko ni aibu!
Simba na Azam zote ni timu ambazo Zina kazi kubwa sana kuufikia ubora wa yanga, kwa namna timu zote izo zinavyocheza yanga atachukua point kwa wote hao ni suala la kusubili tu trh 19 Kuna kishindo kingine kinakuja!
 
Mkuu shuleni ulichokielewa ni kuweka vituo, yaani katikati ya sentensi ushaweka kituo hata kama hujamaliza hoja yako.
Jitahidi kupitia unachoandika kabla ya kupost, pia hujui english, nakushauri tumia tu kiswahili utaelewekaπŸ˜€
 
Hata yanga haina ubora wowote mkuu, tusiishi kwa historia.
 
Una homa kali sana wewe. 🀣
 
Umechambua kihisia zaidi kuliko kiufundi...
 
Sawa bwana mchang'ombe hivi walifungwa nne na yanga nadhani kwa mtazamo wako siku ile azam ndo walikuwa vizuri ndo maana wakala nne ila jana ndo walikuwa ovyo wakala mbili si ndio bwana mchang'ombe?
 
Sawa bwana mchang'ombe hivi walifungwa nne na yanga nadhani kwa mtazamo wako siku ile azam ndo walikuwa vizuri ndo maana wakala nne ila jana ndo walikuwa ovyo wakala mbili si ndio bwana mchang'ombe?
 
Bado hmjalia msimu huu andaeni Machozi ya kutosha ni wa kushsha vichapo, dharau zimezidi
 
Mmeanza mapema Sana kulalamika. Msimu huu ng'adu kwa ng'adu yaani hadi mteme bungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…