Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Na huyu mdogo mtu alifariki muda ule ule ule kama Kaka mtu?
 
Lro nimejifunza kitu aaante jamii forum
 
Ingefaa zaidi ndugu mtoa mada baada ya kutudokeza haya....ungeweka na link ili wadau wajielimishe zaidi......
 
Classic. ni nzuri sana. Umeshasoma ile Tecumseh curse on Americans? Utaipenda maana ina viroja kama sio vioja.
Classic: lakini ungeongezea na
Umewahi kusoma ile ya Tecumseh curse on America? Hapo pana viroja kama sio vioja unbelievable kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…