Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Abraham Lincoln was elected to Congress in 1846.
John F. Kennedy was elected to Congress in 1946.

Abraham Lincoln was elected President in 1860.
John F. Kennedy was elected President in 1960.

The names Lincoln and Kennedy each contain seven letters.

Both wives lost their children while living in the White House.

Both presidents successors were named Johnson.

Andrew Johnson, who succeeded Lincoln, was born in 1808.
Lyndon Johnson, who succeeded Kennedy, was born in 1908.

Their assasins were born 100 years apart.John Wilkes Booth was born in 1839.
Lee Harvey Oswald was born in 1939.

Booth and Oswald were assassinated before their trials.
 
duuuhh katika zote hiyo ya baiskeli ndo imeniacha mdomo wazi zaidii
 
ila hio ya mwisho ndio iliovutia kwa kweli, naamini huku duniani kuna mambo mengi sana yanayofikirisha na hata robo hatujafikia kuyajua. waliosema elimu haina mwisho waliona mbali shukrni kwa mleta mada na yeyete humu anaeshare nasi kile alichokipata
 
There's nothing like coincidence in this life!
 
Titanic na marais wa marekani na chanzo cha vita ya dunia ya I
 
Hapo kwenye no 2.
Naomba kuongezea aliyemwua Lincoln aliitwa Kenned
Na aliyemwua Kennedy aliitwa Lincoln
Kitu kama hicho..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…