Mr Fresh
Member
- May 30, 2021
- 23
- 75
Huenda unatamani kununua nfts lkn bado hujajua uanzie wapi kufanya utafiti wako,hujui uzingatie nini kwanza ili usije kupoteza pesa yako kwa kununua project mbovu ya Nft.Basi kama hilo ndo tatizo lako leo nimekuletea ufumbuzi.ila kabla sijakueleza huu mchongo jua kabisaa kuna watu wanatrade hizi Nfts kila siku na wanapata faida kubwa sana kulingana na kiasi cha mitaji wanachokitumia sokoni.
Kuna namna mbili ambazo unaweza kununua nft,namna ya kwanza ni kufanya minting ya project, hii ina faida kubwa sana lakini pia ina risky kubwa nitaielezea siku nyingine,namna ya pili ni kununua project kupitia secondary markets hii faida yake ni ndogo lakini uwezekano ni mdogo wa kupata hasara endapo ukizingitia hizi hatua 6 za kufanya uchunguzi ambazo nitakufundisha leo
Twende Kazi...
1. Chunguza idadi ya watu walionunua hizo nfts(Nft holders or owners)
Kila Nft project huwa ina supply yake mfano items 10000 au 6637 au 5000 hii isikusumbue,unachopaswa kuangalia ni watu wangapi wamenunua au wana hold hizo items,mfano supply ya Nft ni elfu 10 ila watu walionunua na kuzimiliki hizo items ni watu 300 tu hiyo ni red flag kwa sababu utakuta zipo adress chache ambazo zinamiliki nft nyingi na ni rahisi hao watu kuchezesha(manipulate) floor price ya hizo nfts na kuwasababishia Fomo(Fear of Missing Out) investors wapya kuwauzia kisha kuwaacha nazo sokoni. Project nzuri ya Nft utakuta kuna ratio nzuri kati ya owners na items zilizopo sokoni.owners wanatakiwa wawe zaidi ya nusu,nusu kamili au wakaribie nusu ya items ambazo zipo sokoni.Mfano kama Supply ni Nft elfu 10,basi owners ama holders inabidi wawe 4800 au 5600 au 6000+.
2. Items Ngapi zimekuwa listed sokoni(On Sale?)
Wanunuzi wakishamaliza kumint nfts kwenye launchapads ama kupitia website official za hizo nft projects, Basi project huwa inapelekwa sokoni(secondary markets). Na ni maamuzi ya mnunuzi kulist nft yake iuzwe kwa muda huo huo au asiuze kwa sasa ahold ili kuja kupata faida kubwa zaidi kulingana na mipango mizuri ya baadae juu ya project hiyo. Sasa kama kundi kubwa la wanunuzi(20%+) litaamua kulist items zao mapema zaidi baada ya kumint bac jua hiyo project sio nzuri,hamna mtu anayetaka kuihold na floor price itashuka fasta zaidi.ila kama kundi dogo la wanunuzi(less than 10%) likiamua kulist nfts zao sokoni basi hiyo ni alama nzuri kukuonyesha kwamba hiyo project ina holders wa kutosha,future yake ni nzuri pia floor price yake itapanda kwa sababu itawavutia investors wengi zaidi kuimiliki hiyo project.
3. Last 7 days Sales Volume of Nft project
Je volume ya mauzo ya hizo nfts kwa siku 7 zilizopita ni kubwa na inashawahishi? Kama volume ni kubwa maana yake hata wewe ukinunua pia ni rahisi kuuza lakini kama volume ni ndogo maana ake ukinunua hiyo utalala nayo au ushindwe kuuza kabisaa milele [emoji23]
4. Je Top 20 Adress(collectors) zilizonunua hiyo Nft project zinamiliki pia projects nyingine?
Huu ndo uzuri wa blockchain inaonyeshaga kila kitu wazi,kama wale wanunuzi 20 wakubwa wa juu kabisa wamefanya manunuzi ya projects nyingine pia za nfts, hiyo ni good sign kuwa hapo utakuwa unadeal na real collectors,ila kama hizo top 20 adress zinamiliki nft project ya aina moja tu hiyo ni red flag kwa sababu zinaweza kuwa ni adress za developers na muda wowote wanaweza kuuza hizo nfts zao na kuwaacha nyie sokoni mkihangaika na nfts ambazo zimeshashuka floor price.zipo tools nitakuorodheshea hapo chini ambazo zitakusaidi kufanya uchunguzi huu.
5. Sales Activity
Je ni muda gani unapishana kati ya mauzo ya nft moja na nft nyingine kwenye hiyo project ndani ya soko,je ni dakika moja,ni masaa,ni siku kadhaa ama ni wiki kadhaa?. ni muhimu sana kuchunguza hili kama mauzo yanapishana ndani ya muda mchache ili uweze kufahamu uwezekano wa wewe kuuza pia,project nzuri mauzo huwa yanapishana kwa dakika au sekunde kadhaa tu.ila ukikuta mauzo yanapishana kwa siku hadi siku achana nayo hiyo project utalaza pesa hapo.
6. Utofauti kati ya mint price na Floor Price iliyopo kwa sasa
Je tangu watu walipomint floor price imepanda au imeshuka,angalau chart ya floor price kisha utapata majibu hiyo project inaelekea wapi,kwa hiyo ukikuta project yoyote ile ya nft kisha ukaifanyia uchunguzi kwa kuzingatia hizo hatua 6 basi unaweza kujua kwamba hii ni nzuri ama si nzuri.
Hapa chini nimewekea tools zitakazokusaidia kufanya uchunguzi wako kwa Solana Nfts na Etherium Nfts..
Kwa Solana Nfts tumia tools zifuatazo
1.https://howrare.is
2.https://solanalysis.com
3.https://solanafloor.com
4.https://solscan.io
5.https://solens.io
6.https://solradar.io
Kwa Etherium Nfts tumia tools zifuatazo;
1.https://rarity.tools
2.https://icy.tools
3.https://moby.gg
4.https://etherscan.io
5.https://dune.xyz