Mambo 7 ya kiroho kwenye ulimwengu wa giza

Je Mkristo anaweza kufanya kafara ya damu ya mnyama kama anavyofundisha Pastor IPM? JE WAKATI WA AGANO HILO LA DAMU ZA MAFAHALI NI MSTARI GANI WA BIBLIA HUTUMIKA?
Kwa mkristo hahitajiki tena kafara sadaka ama dhabihu yoyote ya damu kwakuwa Kristo alishamaliza yote pale msalabani Kalvari
 
Unaweza kuwatambua manabii na mitume wa uongo kwa kuchunguza matendo yao, mafundisho yao, na nia za mioyo yao kulingana na miongozo ya kiroho. Katika maandiko kama vile Biblia, Yesu alionya kuwa watakuja wakiwa wamevalia "mavazi ya kondoo" lakini kwa ndani ni "mbwa-mwitu wakali".
Sasa yule Nabii si atakuwa analeta mafundisho ya kuzimu kwenye uzima wa milele?
 
picha zako zinaogopesha!
je! kilichotokea mwishoni mwa mwaka jana kinahusiana na hiyo namba 1? hata hivyo "Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!"
 
Tunapo zungumzia damu, ili kupata fumbo lake lazima urudi back ( ancient code and secret ), why blood na kwanini ilianza damu..

Damu inaunganisga asili ya mtu, na damu inaweza mtoa mtu katika asili yake na ndio leo watu wengi wahanga kwasababu walifanyia exchange ya damu ( kwa kutumia weak and strong protocal ) na ikisha kuwa ivyo ndio imekuwa, ogopa sana kitu inaitwa damu, watu wangekuwa wanajua namna ina oparate kuna vitu wangekuwa makini sana na kuna gharama sana kufanya purification ya damu au restoration 😁😁
 
watu wangekuwa wanajua namna ina oparate kuna vitu wangekuwa makini sana na kuna gharama sana kufanya purification ya damu au restoration✍🏿
 
mambo ya kafara za damu na moto yamekuwa yakitisha na kuogopesha watu wengi tangu zamani kutokana na imani na tamaduni mbalimbali.

Katika jamii nyingi, dhana hizi mbili huchukuliwa kuwa na nguvu kubwa na athari nzito, iwe katika hadithi, imani za kimila, au hata fasihi.

Kafara ya DamuAlama ya Uhai:
Damu huchukuliwa kama chanzo kikuu cha uzima.

Gharama Kubwa:
Kutoa damu humaanisha kupoteza au kukatisha uhai.

Maandiko na Mila:
Hutumika sana katika matambiko ya kale ya kuomba radhi au baraka.Kafara ya MotoUharibifu Kamili:

Moto huteketeza kila kitu na kutoacha mabaki.

Utakaso: Katika imani fulani, moto hutumika "kutakasa" kwa nguvu.

Alama ya Hasira:
Huwakilisha ghadhabu, nguvu kubwa, na mabadiliko yasiyorudi nyuma.

Watu wengi huziogopa kwa sababu zote mbili zinahusisha uharibifu, maumivu, na mambo yasiyoweza kurekebishwa yakishafanyika.
 
naskia kuna watu huwa wanawamwagia maji ya Maiti wengine ili kushusha nyota zao, naomba elimu kuhusu hili na njia za kawaida za kurudisha nyota yako bila kufika kwa mtaalamu
 
Ni kwa namna gani mtu anaweza kukabiliana na haya mambo? Kuongeza bidii ya kumtafuta Mola kiimani (Kiislam au Kikristo) au kwenda kwa waganga wataalam wa haya mambo?
 
Hiyo namba 6 mkuu tunafanyeje kujitoa.?
Kujitakasa na unajisi wa fikra na mioyo huanza na nia thabiti ya kujitathmini ili kutambua vyanzo vya mawazo hasi, chuki, au nia mbaya bila kujihukumu kupitiliza. Baada ya utambuzi huo, hatua ya muhimu zaidi ni kulinda milango yako ya fahamu kwa kuchuja kwa umakini mkubwa kile unachoona, unachosikia, na marafiki unaoambatana nao kila siku.

Sambamba na hilo, unapaswa kulisha akili na roho yako mambo mema kupitia maombi, toba, kutafakari kwa kina, na kusoma maandiko au vitabu vinavyojenga maadili mema.

Mwisho, mchakato huu unakamilika kwa kufanya maamuzi magumu ya kusamehe waliokukosea ili kuondoa vinyongo, kubadili fikra hasi kuwa chanya, na kujishughulisha na matendo ya hisani yanayofuta ubinafsi na kuleta amani ya ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…