Mambo 7 ya kiroho kwenye ulimwengu wa giza

Mshana Jr mkuu can you prove this physically? Nimeona machapisho yako mengi sana on such topics. I feel like Kuna huu ulimwengu wa kichawi exists. Ila Huwa naona ni kama ujinga based on lack of tangibility au real explainable truth. Ila at some point naamini una exist.

If you are true with what you're saying, naomba unipe mbinu ya kudecod tatizo hata kama ni PM, jinsi ya kuvunja hizo mikoso you're talking about na jinsi ya kutumia uwezo wa kichawi ku align my purpose and reach my highest goals(which of course is everyones dream) wewe kama babu uliye experience au tuseme unaujuzi wa haya mambo let you show me what you mean by what you write in here.
 

Unataka ramli au ramli chonganishi?. Ramli chonganishi andaa panga tu mana mchawi wako hatotoka Ulaya wala marekani. Kama sio ndugu wa dam bas jirani
 
Naomba unipe muda ili nikujibu kitu kinachoeleweka

Ili kujilinda na kuepuka athari za mambo 7 ya kiroho ya ulimwengu wa giza (ambayo mara nyingi yanajumuisha uharibifu wa mafanikio, vifungo vya kurithi, magonjwa, ndoto za kutisha, roho za hofu, upofu wa kiroho, na kukwama kimaisha), unapaswa kusimama imara katika misingi ya kiroho. Ulimwengu wa roho ndio unaotawala ulimwengu wa mwili.


Katika ulimwengu wa kiroho, ushindi dhidi ya nguvu za giza haupatikani kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa kuvaa silaha zote za Mungu na kusimama imara katika mamlaka ya kiungu.

Msingi mkuu wa ulinzi wako unaanza na toba ya kweli na utakaso wa mara kwa mara, hatua inayofunga milango yote ya kisheria ambayo adui angetumia kupata uhalali wa kukushambulia au kukuhukumu.

Mara baada ya milango hiyo kufungwa, ni lazima usimamishe madhabahu imara ya maombi na kufunga, ukichoma dhabihu za sifa na maombi yasiyokoma ili kutengeneza mazingira ya uwepo wa Roho Mtakatifu yanayofanya maisha yako kuwa moto unaounguza kila mtego wa giza unaokurubia.Ili kuvunja na kuteketeza kabisa athari za mambo hayo saba, unapaswa kutumia upanga wa kiroho ambao ni Neno la Mungu lililo hai, ukilitamka kwa imani ili kuharibu ngome zilizojengwa akilini au rohoni.

Kwa mamlaka ya Jina la Yesu na kwa nguvu ya ushindi iliyoko katika Damu ya Mwana kondoo, unayo haki ya kisheria ya kufuta na kuvunja maagano yote ya damu, laana za kurithi, na vifungo vya kiukoo vilivyokuwa vimeishikilia nafsi yako.

Hatimaye, ulinzi wako unakamilika kwa kuwa na utambuzi thabiti wa kiroho utakaokuwezesha kufichua hila za adui kupitia ndoto na maono, huku ukizungukwa na ushirika mtakatifu wa watu wa nuru unaolinda na kuwasha moto wako wa kiroho wakati wote.
 
Sawasawa kiongozi
 
Ufungue kanisa
 
Mshana Jr nimeota ndoto moja niko juu ya paa sasa nataka kushuka nimezukwa na wanawake weupe sasa nataka kushuka huwezi ameani ile ngazi ikawa inacheza Kama inataka kudondoka akatokea dada mmoja ndo akawa ameshikia hiyo ngazi imekaaje hiyo? Naomba jibu
 
1. Hatua Uliyopo Kimaisha
Kuwa juu ya paa kunamaanisha umefikia hatua kubwa, mafanikio, au maamuzi mazito katika maisha yako. Kutaka kushuka kunaashiria kuwa unatafuta usalama, amani, au unataka kurudi kwenye hali ya kawaida baada ya kukutana na majukumu au presha kubwa.

2. Fursa na Wasiwasi Unaozunguka
Kuzungukwa na wanawake weupe kunaashiria uwepo wa baraka, mabadiliko mapya, au nguvu za kiroho zinazokuzunguka kwa sasa.
Hali hii inaonesha kuwa maisha yako yamo kwenye uangalizi mzuri, hata kama kwa sasa unahisi kuwa na wasiwasi au hofu na mazingira hayo mapya.

3. Changamoto na Kuyumba kwa Mipango
Ngazi inayocheza na kutaka kudondoka inawakilisha vikwazo, hofu ya kufeli, na kutokuwa na uhakika na mwelekeo wako wa sasa. Inamaanisha kuwa njia au mbinu unazotumia kutatua mambo yako kwa sasa hazina uimara wa kutosha na zinakupa hofu ya kuanguka kimaisha.

4. Suluhisho na Msaada Utakaopata
Kutokea kwa dada aliyeshikilia ngazi hadi ikatulia ni ishara njema ya kupata suluhisho na utulivu kupitia msaada wa karibu.

Ndoto hii inakupa matumaini kuwa, licha ya hatari na kuyumba unakoviona sasa, utavushwa salama na hutaanguka kwa sababu utapata msaada wa mtu kwa wakati sahihi.
 
Mkuu ujadanganya kitu shukrani sana hapa katikati nimekua na ndoto zinanitisha sana mara nimefanya mitihani darasa zima tumefaulu alafu Mimi nasema mtihani umekua rahisi sana aisee acha tu nilifanya kazi moja ya serikali imeniacha na presha sana mkuu sijui natoboa we acha
 
Utatoboa trust me💪🏿✍🏿
 
If this is true mshana mbona in reality check tunaambiwa Imani is psychological? Mbona tynaaminishwa kuwa nothing works if we dwell on imagination? Mbona watu wakeshao wakisali na Imani ndo watu waishio na mateso Kila kukicha?

Je, huo ulimwengu wa Giza ndicho chanzo? Na Kam ndo chanzo mbona throughout history tunakuja kujua kuwa everything has a cause and effect.. what if huo uchawi tunao Dhani una exist ni sayansi iliyo jificha just like newton's laws of gravity and relativity?
 
If this is true mshana mbona in reality check tunaambiwa Imani is psychological? Mbona tynaaminishwa kuwa nothing works if we dwell on imagination? Mbona watu wakeshao wakisali na Imani ndo watu waishio na mateso Kila kukicha?
Kukesha kanisani ukiomba bila kufanya kazi huwezi kupata kitu na hii inasumbua watu walioamini kupitiliza wenye imani kaliii

Kwa wakristo hasa walokole anataka kati ya siku 7 za week siku 5 awe church huyu atafanya kazi sa ngap na bado akipata pesa anamplekea tena mchungaji

the same kwa Muslim wale wafia dini hasa wanachagua kazi za kufanya kazi inayomnyima time ya kuswali swala 5 hataki anaona bora auze zake ubuyu vitabu vya dini eneo la msikiti
wewe unadhani huyo kutoboa ni lini?

Mimi binafsi naamini katika kufanya kazi ukiwa na kazi hata huyo Mungu hutamkosea hutaiba ,hutadhini,hutadhurumu vya watu wala kuchukia wenye navyo

Mwisho kabisa wafia dini hawataki kufanya kazi mala nyingi
Hapa sisemi kitu🙏
 
Mimi kitu ambayo mpk Leo inanishangaza ni kuwa if religion is not a trap, kwanini hakuna tangibility ya matokeo rasmi ambayo mwamini anapaswa kuyafanya ili anacho kutaka kiweze kutokea? Ili ufanikiwe inapaswa kuwa expert on your craft, haya kwenye religion imekaa kama kuamini kitu ambacho basically hakipo. What if religion is just a gateway to knowing thyself?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…