Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Cdm wasije wakakosea wakauvaa huu mkenge. Maridhiano ni utapeli wa wazi.Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:
1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.
2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.
3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.
4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.
5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.
6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.
7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Upuuzi mtupu ,rekebisheni katiba yao ,sijaona kuondolewa upigaji wa kura siku mbili kwenye uchaguzi mkuu.Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:
1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.
2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.
3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.
4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.
5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.
6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.
7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:
1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.
2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.
3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.
4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.
5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.
6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.
7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Kwanza niwape hongera kwa hatua mliyofikia ila haya ni maridhiano baina ya ACT na CCM yakugawana vyeo na posho sijui kama yananafuu yoyote kwa mwananchi wakaida wa Zanzibar kwahiyo Mimi niwatakie ulaji mwema.Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:
1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.
2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.
3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.
4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.
5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.
6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.
7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Haya maridhiano hayana maslahi ya Watanzania, bali genge fulani la wajanja.Kwanza niwape hongera kwa hatua mliyofikia ila haya ni maridhiano baina ya ACT na CCM yakugawana vyeo na posho sijui kama yananafuu yoyote kwa mwananchi wakaida wa Zanzibar kwahiyo Mimi niwatakie ulaji mwema.
Mkuu huyu ni balozi wa Saudi Arabia siku hizi katibu mkuu kiongozi wa Zanzibar ni Mansura Kassim.Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed
Walichokubaliana ni Siri?Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:
1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.
2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.
3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.
4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.
5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.
6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.
7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Mkuu, ACT walishauza chama siku nyingi, siku hizi kilauchaguzi ukiisha wanafanya kikao cha kugawana vyeo. Ndiyo maana mimi huwa nasema Maalim Seif (RIP) ni mmoja wa viongozi waliomalizia uanasiasa wao kwa usaliti mkubwa. Baada ya kuona uzee umeingia na anachotaka hakipatikani akaamua kusaliti wazanzibar kwa kukubali kupewa cheo cha geresha. Yule mzeee alimaliza vibaya sana na hakujali wanzazibar wote waliokufa kwa ajili yake.Maneno matupu ya wanasiasa nakupa muda siyo mrefu tutaanza kusikia vilio hasa kutoka ACT.
Dah sijui kama kuna mtu amezingatia hii comment!makubaliano yote hayapimiki
UMOJA wa WACHAWI ZANZIBAR (UWZ.)Walichokubaliana ni Siri?
Agenda zilikuwa zipi kwa ufupi?