Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

Maneno matupu ya wanasiasa nakupa muda siyo mrefu tutaanza kusikia vilio hasa kutoka ACT.
Kwenye hilo tanko unaona chochote cha maana.

Ni genge la MATAPELI lililokuwa LINAACHAMA tu bila hoja ya MSINGI.

ESSAY isiyokuwa na maana yoyote, zaidi ya kugawana vyeo vya DAMU.
 
Yaani eti Wazanzibari wote wanatawala Tanganyika na Zanzibar...

Hivi Watanganyika ni nani katuloga hata tushindwe kuuona ujinga na uzandiki huu.???????
 
Maneno matupu ya wanasiasa nakupa muda siyo mrefu tutaanza kusikia vilio hasa kutoka ACT.
Sahihi kabisa. Mbogambga wana maneno matamu sana mdomoni, ila uyekelezaji ni 0%. Rejea maneno ya Tundu Lissu kuhusu makubaliano ya huku bata walipokaa na akina Abdulrahmani Kinana, mdomoni waliongea mambo ya maana, lakini walipolekewa maandishi ili hayo maneno yawe kimaandishi CCM waligoma kusaini.
Niko paleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…