Mwambien pep kua epl kuna big match nne yaan
vs man untd
vs aseno
vs liver
vs chlsea
alfu kuna mechi tano za wabishi wa ligi
vs tote
vs south
vs evton
vs stoke
vs westham
yaaan hawa jama hat uwe mgumu vipi lazim mmoj wao akufnge
alfu kuna mechi tatu na watu wenye baht na ligi
vs leicter
vs sndrlnd
vs westbrom
na kuna mmoja kashuka darja anaitwa wigan
yaan hawa jama kazi yao kuchukua poit moj moja tu kutok kweny big four ili mradi wabaki kweny ligi
Pep karbu sana epl huku hakuna granada wala levante.....ila huk kuna crystl palce ambao wana uwezo wa kumiliki mchezj mweny thamn ya paund milion 30 plus mshahar paund 120000
Karbu katika ulimwengu wa vita na sio ligi km ulivyozoea