Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Kwenye kushuka usingizini mmmh nina mtu wangu wa karibu yaani hawezi kumaliza siku mbili bila kustuka usingizini tena yeye anaamka kabisa kama anataka kukimbia mmmh hii ni nini?

Ukimuuliza unaota anajibu kawaida tu. Na si kwamba ana tatizo lolote kiafya yupo fiti ila yeye kazidi.

Watu huwa tunastuka ila sio mfululizo yeye hawezi kumaliza siku mbili.
Mm nawazaga kuna mguvu flani anapingana nazo au zinamlinda bila yeye kujua. Ila kiufupi hana shida yeyote yupo vizuri tu
 
Bora umetujuza mkuu mana kama hiyo no 05 huwa inanitokea sana ninapokuwa nafua ila leo nimejua kwa nini.
Ahsante sana.
 
Asante kwa elimu hii ila naona mwili umeshindwa kabisa kuzuia kifo maskini mweee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…