Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Duuu!kwa hapo namba 8 ndiyo nimeielewa leo nina km wiki 2 hivi kila nikilala kidogo tu kama nusu saa au lisaa limoja hivi lazima nikurupuke na hiyo hali,sasa cha kujiuliza mbona zamani ilikuwa hainitokei hiyo hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi mungu katupendelea sana sisi wanadamu.....ukisoma IMMUNOLOGY utaona maajabu ndani ya miili yetu na kuamini uwezo wa mungu
 
Swala la kujamba umaliweka katika kipengele kipi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu!kwa hapo namba 8 ndiyo nimeielewa leo nina km wiki 2 hivi kila nikilala kidogo tu kama nusu saa au lisaa limoja hivi lazima nikurupuke na hiyo hali,sasa cha kujiuliza mbona zamani ilikuwa hainitokei hiyo hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unalalaje. Inashauriwa kulalia ubavu wa kulia zaidi kuliko kushoto. Sababu kuu ni moja, ubavu wa kushoto ndiko moyo ulipo na ndio maana ukilalia ubavu wa kushoto kwa muda unachoka. Jaribu hii utaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi mkuu,kwa design hii,bila shaka,kuna super power behind all these mechanism,
Mungu yupo,wajameni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ila hiyo namba tano wanasayansi wametengeneza chai au ni wewe ndiyo ume wasilisha vibaya,ingekuwa hata mkono ukiwekwa kwenye mafuta kwa muda mrefu unajikunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…