Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua



Asante sana kwa kutushirikisha elimu hii kubwa na muhimu
 


Thanks mkuu nimejifunza mengi sana na yatanisaidia.
 
Kweli kabisa harafu utamuona lijitu linamkataaa ALLAH
 
Hapo kwenye Kwikwi mkuu mimi naona iko tofauti kidogo sijui kwa wengine ikoje,mimi hupata Kwikwi kama wapatavyo wengine lakini pia kuna vitu nikitumia huwa napata,mfano nikitumia kitu chenye ukali hasa Pilipili au Tangawizi ikiwa nyingi huwa napata,sasa sijui hapa kinachotokea huwa ni nini AU ndio hiyo kubugudhiwa kwa Diaghragm?
 
Ahsante sana
Nimefaidika na somo zuri mnoooo
 
asante sana kwa udadavuzi murua...

swali
vipi kuna uhusiano gani kati ya usingizi na macho..?
Viungo vyote vya mwanadamu kasoro ubungo, huwa vinapumzishwa ili viwe active, kuna hormones ambazo ndio hufanya kazi ya ku activate ama ku deactive viungo hivyo, usingizi ni moja ya hali inayotokea kwa lengo la kupumzisha viungo ikiwa pamoja na macho, hata masikio pia, ndio maana ukilala unapoteza uwezo mkubwa wa kusikia.
 
asante ndugu kwa mada nzuri,ila kuna sehemu kama sijaelewa vile! kwenye hio dayafram umesema hubakia mahali pake wakati hewa ikitoka, lakini ikiwa inaingia hushuka chini, sio inapanda na kushuka kama ulivyo upumuaji?
Labda nilikosa kiswahili chake, lakini kwa kizungu wanasema hewa inapotoka nje kupitia pua na mdomo, diaphragm ina-relax
 
Asante kwa nyongeza hii
 
Asante mkuu na swali la nyongeza vipi kuhusu mwili kufa ganzi ni dalili za kujihami na nini?
Numbness au Ganzi kwa lugha ya kiswahili, ni hali ambayo husababishwa na mambo mengi. Hutokea katika sehem tofauti tofauti za mwili, moja ya sababu kubwa ambayo ndio common ni ile ya ganzi inayotokea endapo mzunguko wa damu haufiki katika sehemu fulani ya mwili.
 
Asante! Kwahiyo haina dhumuni lolote la kukinga mwili na kitu chochote?
 
Asante! Kwahiyo haina dhumuni lolote la kukinga mwili na kitu chochote?
Hapana ni abdomality in body function, labda mwili hurespond kwa kukupa taarifa kua sehem fulani haiko sawa hivyo rekebisha, mfano ganzi inayosababishwa na kuulalia mkono au kukunja mguu.
 
Kuna MTU anajiita izengo kadokado anaieneza fb kama kuandika yeye!!
 
Asante sana mkuu nimeyajua mengi ambayo sikuyajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…