Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Nimekuelewa mkuu Daaah nzuri hiyo. Lakn kidogo hapo kwenye kwikwi namna diaphragm kidogo fafanua skupaelewa
 
Akhsante sana mkuu
 
Asante kwa elimu bora kabisa nilikua najiuliza uwezo wa mwili mara nyingi ila jibu lake ilikua mtihan kidogo mi hua nacheza mpira wa miguu ile just for fun coz napenda na vimechi vya kitaa mara moja moja napiga ila kuna vitu mara nyingi nafanya nikiwa uwanjan ktk kukontrol mpira au kukwepa adui adi mwenyew nashangaa kua uwezo upi umetumika na unakuta sikua na mazoez ya io chenga au mbinu nlotumia
 
Na kwa kuongezea hiyo namba 8 ubongo pia unahisi mapigo ya moyo yameshuka sana na kuwa unataka kufa huwa na tabia kukuotesha ndoto hasa zile ambazo upo juu ya jengo au juu ya bati na umeteleza unaanguka lakini kabla hujafika chini unashtuka. Hii inakusaidia kuamka kwa nguvu na kuongeza mapigo yako ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…