Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Vizuri sana Mkuu

Ehee!!na hii khali ya kujikuta umekojoa shahawa usiku huwaga inasababishwa na nini?
Hiyo ni hali ya kawaida ya mwili...inasabishwa na sababu nyingi mara nyingi hua ni mihemko ya mwili, huita ndoto nyevu ambazo husababishwa na kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu pindi mwili unakuwa na matamanio ya kushiriki tendo hilo...hivyo mwili hutumia njia hiyo kupunguza hali hiyo kwani huweza kuathiri afya ya ubongo. Pia huambatana na ndito za kimapenz kwa mtu unaliemtaman kwa kumuangalia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Mungu fundi sana Wilson.hiyo ni Attension ya mwili kujikinga na hatari ziko homon maalum zinazo shughulikia hayo masuala.
 
Wow!!akhsante sana mkuu Villky_J

Maana nina hilo tatizo na nikishakojoa tu ndo nasituka kutoka usingizini.
 
Wow!!akhsante sana mkuu Villky_J

Maana nina hilo tatizo na nikishakojoa tu ndo nasituka kutoka usingizini.
Ok, lakini isiwe sababu ya kufanya uzinzi Mungu alitambua hilo dats why akatuumba na mfumo huo maalum kuwa mwaminifu kwa ndoa yako kama umeoa ila kama hujaoa kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako michepuko sio dili baki njia kuu
 
Uko sahihi kabisa mkuu...kwamba mwili tayari unakuwa umeshatambua kama upo katika hali ya hatar hivyo hutoa nguvu ya ziada kuliepuka tatizo
 
Ubarikiwe sana mkuu kwa uzi huu nmejifunza[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…