Gamlemilwe
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 290
- 200
Asante pia jukihaAsante kwa somo
Hpn ni hali ya kawaida hiyo mkuu.Duh asante kwa elimu mie la mwisho ndo linanitokeaga sana yani nashtukaga sometime mate yanakua yamenipalia kama yamenikaba basi nashtuka fasta mapigo ya moyo sasa yanaenda fast mpaka nikawa naogopa labda ni presha au iziraeli ananinyemelea[emoji1]
Ukilia wakati unauchungu moyoni ni moja ya tiba ya kupunguza hata shinikizo la damu la ghafla maana hasira na maumivu yana kiwango yakizidi yanaweza sababisha hata kupoteza fahamu, kupooza na hata kifo. Hivyo kulia sio ujinga ht kidogo ingawaje wengi hutafsiri hivyo.Nimeipenda sana hio ya machozi ukiwa na maumivu..
Kulia kunapunguza sana maumivu watu wanajifanyaga tu wagumu wanaona kulia ni uzuzu.
Asante pia. GamlemilweAsante
Thanks farajaExcellent biologist
Wabheja....mwanadomeWabheja sanaaa.
Asante mkuu.Elimu kubwa sana hii, asante.
Sasa hapa kuna watu wa ndoto wanasema eti muotaji atapata mikosi au balaa!!!!Na kwa kuongezea hiyo namba 8 ubongo pia unahisi mapigo ya moyo yameshuka sana na kuwa unataka kufa huwa na tabia kukuotesha ndoto hasa zile ambazo upo juu ya jengo au juu ya bati na umeteleza unaanguka lakini kabla hujafika chini unashtuka. Hii inakusaidia kuamka kwa nguvu na kuongeza mapigo yako ya moyo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tatizo ccm hawataki RAIA waelimike, utasikia nahuyo mleta mada kakamatwa kwa kosa la uchochezi!!!!!!!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] au wanasema mkosi eti unajichuliaNimeipenda sana hio ya machozi ukiwa na maumivu..
Kulia kunapunguza sana maumivu watu wanajifanyaga tu wagumu wanaona kulia ni uzuzu.
Waswahili utawawezaa..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] au wanasema mkosi eti unajichulia