Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Halafu Kuna mtu eti anakwambia Mungu hayupo....hv hayo mambo si inatosha tu kukufahamisha uwepo wa aliyevipanga? HV Ni kweli hayo yametokea tu by nature?Mbona simu haikutokea tu by nature? Kwa uzembe wako wa kukataa uwepo wa Mungu,hv unadhani hy dhana yako itabadili ukweli?...KAMA UNAAMINI MCHICHA UNA VITAMINI JAPO HUVIONI,UNASHINDWA VIPI KUAMINI UWEPO WA MUNGU MUUMBAJI KUPITIA MAELEZO YA MTOA MAADA.
 
Abosulity true.
 
Ametukuka Mwenyezi Mungu m'bora wa watengenezaji...Subhaanallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…