JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Huku kitaa nakutana na mambo mengi sana watu wanayoshangilie kutumbuliwa kwa Nape.
Raia wanataja mambo machache nami nayaweka hapa, ukikumbuka yaweke pia ili Waziri alie ingia ashughulike nayo.
1. Anwani za makazi, walizindua kwa mbwembwe na wakatuahidi sasa itakuwa rahisi kuletewa mzigo na POSTA bila kuuliza mtu, yaani makazi yote yataingia kwenye mtandao, hadi sasa ni kimya.
2. Ni mitandao ya simu. Bando zinaisha tu hata kama mtu hajatumia, hata sijaongelea kuhusu ku-expire, hapa namaanisha bando linaliwa na MB zinapukutika tu bila taarifa, Waziri alipoulizwa akakataa katukatu. Hadi sasa vifurushi havieleweki.. Unanunu bando la mwezi linaisha siku moja.
Sambamba na hilo, ilipendekezwa mtu akinunua MB atumia hadi ziishe sio zina expire, ni kuwanyonya wananchi. Waziri wa sasa alifanyie kazi hili. Mtawauwa na njaa watanzania.