jimmysilver
Member
- Nov 24, 2017
- 9
- 4
Mambo Ambayo Hukusikia Dr.Luis Shika Akisema Baada Ya Zile Nyumba Kushindwa Kuuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo Ambayo Hukusikia Dr.Luis Shika Akisema Baada Ya Zile Nyumba Kushindwa Kuuzwa
Kwasababu Umecomment!
ubongo wako utakuwa umejaa funza.
Haha umekosa kazi wewe umeamua uje umalizie hasira hapa
"Your Wasting Your Life Your Not Wasting Your Time" - Elvice Urio
Ujumbe Wako Unakuhusu
huu sio wakati wakukoti koti verse zisizo na impact kweny maisha yako.mwehu ww.toa usaha huo kwenye ubongo
Tumia Muda Wako sahihi sio hapa una bounce
Mwachen ach kujipendekezaumesahau kuandika subscribe
wacha uchoko jo.nyie ndo mnaharib jf mkichekewa mnaon sifa.
Mambo Ambayo Hukusikia Dr.Luis Shika Akisema Baada Ya Zile Nyumba Kushindwa Kuuzwa
weka kwa maneno au unatafuta viewers wa youtube...Hatuna bando mzee.. Hahaha upo kazini unatafuta pesa.. weka kule kwenye biashara ndogo ndogo ... jamii forums inatakiwa iwatoze pesa kwa kua mnatangaza biashara katika jukwaa lisilo sahihi.. Ovaaaaaaa,,
Duh! Ungeandika Kiswahili tu ingependeza zaidi, maana hiki ulichoandika hata Malkia Elizabeth hawezi kuambua..."Your Wasting Your Life Your Not Wasting Your Time" - Elvice Urio
Ach shobo mtoto wa kikeDuh! Ungeandika Kiswahili tu ingependeza zaidi, maana hiki ulichoandika hata Malkia Elizabeth hawezi kuambua...
Hmm! Maumivu yakizidi kamuone daktari...Ach shobo mtoto wa kike