Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Sasa kama hupendi mwanaume mlevi utakubali kuwa na mlevi ilhali wapo wengi wasiokunywa?
Now u got my point!

Basi wapo wasiolewa wengi nita-base kwa hawa na kuto-deal na walevi, same applies to you wapo wlaiotulia tu kwanini usiwafuate hao na kuacha hao shindikanaa, ukiwaanika walevi ndio wataacha ulevi? Na utawaanika mpaka lini despite huwezi kubadili lolote?
 
Exactly, ndio maana mleta maada anatukumbusha wanaume tuwe wise kwenye machaguo yetu.
Nikajua anapinga kabisa suala la nyie kuwa na wanawake 😳
 
Hiki ndicho exactly kinachosisitizwa hapa, hekima katika machaguo.

Kuwaanika walevi kunaweza kusiwabadilishe walevi ila kunaweza saidia wengine wakafanya wise decisions.
 
Hiki ndicho exactly kinachosisitizwa hapa, hekima katika machaguo.

Kuwaanika walevi kunaweza kusiwabadilishe walevi ila kunaweza saidia wengine wakafanya wise decisions.
Kwa kuandika mapungufu ya walevi?
 
Imekuuma sana kuambiwa ukweli mchungu
 
Nashangaa kuna wanaume wamelike hii comment- I officially pronounce them as STUPID
Hampendi ukweli usemwe kila mtu autambue, juzi kuna mwanamke alikua anayasema wazi pale Mbezi stend tena akiwa na kipaaza sauti km wanavyofanya wale walokole uchwara ambao wanaona kwamba wamezaliwa kwenye ukoo wa Yesu ikiwa kwamba hata wale waliozaliwa kwenye ukoo halisi wa Yesu hawafanyi km wanavyofanya wao, yule Mama aliyaongea haya yote jamaa aliyoyaeleza hapa akiwaeleza wanaume tena aliongelea na mengine ya ndani zaidi na zaidi ambayo wanawake hawapendi wanaume wayajue, jana kuna manzi alikua anaongea na jamaa alieoa mwanamke wake anamfanyia ushenzi wa karne kamfuma mara kibao na wanaume wakudawakuda akaongea nae mimi nikiwa pembeni namsikiliza anamuhoji hivi huyo mkeo hata nguo anakufulia anajibiwa sio tu kufungua hafui hata watoto hawajali mimi ndio ninaewajali watoto wangu as if yeye hajawazaa

Kwa ufupi mnapoambiwa ukweli muukubari na mbadirike sio kukaza mishipa ya matako
 
Mimi ni Mkristo but I have to say that you are the worst gospel messenger. Unawezaje kumtaja Yesu Kristo kwenye comment ambayo umejaza ad hominem attacks and unsubstantiated claims and assumptions about the author of the main post/thread? Kwamba yeyote anayedhani kwamba kuna kutapeliwa kimapenzi na mwanamke amepigwa tukio au hajawahi kupendwa na mwanamke asiye mama au ndugu yake? Kama kweli unaamini haya unahitaji msaada.
 
Seran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…