Kwani hapo juu wameandika sababu za kutolewa tu ndo hutulii kwenye ndoa Au mahusiano? Kuna sababu kibao tu, ila kama hii ndo main gate ya kuwa kwenye mahusiano basi sawa…Kama hajatulia ingekuwa ishatolewa na wahuni mapema tu
Siku ukiipata Tena muda zungumzia hii ya kuwekwa friendzone na mwanamke inamaana gani naona wanaume wengi hii upitia1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.
2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.
3.Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. It takes someone to be a fool at high level to sign a contract with a woman who will be rewarded for breaking it.
4.Mwanaume usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.
5.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.
6.Hakuna watu wanawapiga vita single mothers kama wanawake wenyewe. Wakalishe chini mama na dada zako waambie unataka kuoa single mother halafu tulia sikiliza michango yao. No woman want her brother or son to be scammed.
7.Wanawake masikini au jobless ni hatari kwa afya na uchumi wako. Wana-date ili ku-survive. Wewe sio mpenzi wake, ni chanzo chake cha mapato.
8.Definition ya upendo kwa mwanamke ni kwa kiasi gani unamtatulia matatizo yake. Ukisitisha huduma au akitokea mwanaume mwingine wa kutoa huduma za juu zaidi yako, upendo utakufa na sacrifices zako zote atazisahau. So don't overdo. Usiruhusu mwanamke akudanganye hajakufatia hela. Women follow you because of what you can offer, their love is transactional.
9.Mwanaume tajiri anaweza ku-date na mwanamke masikini na kumwinua kimaisha, lakini kwenye macho ya mwanamke tajiri mwanaume masikini ni takataka tu.
10. Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.
11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.
Don’t be a simp
Bikra ni kiashiria kuwa binti anaijua thamani yake na kuitunza.Hawapo mkuu😊
Hebu jaribu kumpata kwanza ukae naye utaturudishia mrejesho baada ya kuiondoa😎
Friend zone ni aidha hukumvutia mwanamke kimapenzi toka mwanzo au umeupoteza huo mvuto kwa kuwa dhaifu kwake.Siku ukiipata Tena muda zungumzia hii ya kuwekwa friendzone na mwanamke inamaana gani naona wanaume wengi hii upitia
Yote haya wameyataka wenyeweWanawake wanapitia uzi kimya kimya huku wanasonya
Past yake muhimu kuijua na huwa akikupenda sometime anaropoka mwenyewe hii inasaidia kujua aina ya mtu ulioingia nae kwenye mahusiano mfano halisi ni hii wa kwangu niliowahi kuingia mahusiano na mwanamke ambaye ameachika kwenye ndoa wakati napiga nae story akaniambia wakati yupo kwenye ndoa alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine na sababu ilikuwa mumewe uwezo wake mdogo kwenye kutoa huduma nilivyosikia tu hivi nikajua hapa Sina mtu kwahiyo na Mimi nikipunguza tu huduma inamaana hatakuwa na mpenzi na MimiMi nachoshindwa kuwaelewa wanaume, sasa kama mtu umempenda ukijua body counts zake inakusaidia nn? Au izo style alizokunjwa zinabadilisha nini? Kitu kinachikutanisha wawili ni sex tu and not otherwise, utailemba kwa ndoa sijui mapenzi, mara pesa, sijui hutaki iliyochapwa sana! At the end main goal ni nini kama sio sex? Tutaongea yote lkn issue ni mnofu tu hakuna jipya! Eti wanaficha taarifa sahihi! For what? Ili zikusaidie nini? Unaandika historia mahala..?
Friendzone utumika kwa wanaume mabwege wanawatumia kimaslahi yao binafsiFriend zone ni aidha hukumvutia mwanamke kimapenzi toka mwanzo au umeupoteza huo mvuto kwa kuwa dhaifu kwake.
Mwanamume anayepaswa kutoa muongozo wa mahusiano kwa watoto wetu wa kiume anapaswa kuwa: mwenye mke, anayempenda mke wake, anayefurahia ndoa yake. (We should have his wife's testimony for this)
Nyie mnaoteseka mngebaki wapenzi watazamaji.kwenye ndoa hakuna furaha, Kuna karaha tu. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kulea mwanamke
Wanapoongea wanaume jifunze kukaa kimya na usikilize Kwa umakini. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kufuga mwanamke.Vitendo gani sasa, fighting women?
Stay single and wait for the Lord. Acha kuteseka na K.
Duhh! Naye alikuwa kiroporopo tu😆Past yake muhimu kuijua na huwa akikupenda sometime anaropoka mwenyewe hii inasaidia kujua aina ya mtu ulioingia nae kwenye mahusiano mfano halisi ni hii wa kwangu niliowahi kuingia mahusiano na mwanamke ambaye ameachika kwenye ndoa wakati napiga nae story akaniambia wakati yupo kwenye ndoa alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine na sababu ilikuwa mumewe uwezo wake mdogo kwenye kutoa huduma nilivyosikia tu hivi nikajua hapa Sina mtu kwahiyo na Mimi nikipunguza tu huduma inamaana hatakuwa na mpenzi na Mimi
Ni paka kumbe😂kufuga tena..🤭Wanapoongea wanaume jifunze kukaa kimya na usikilize Kwa umakini. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kufuga mwanamke.
Nimekuelewa kwamba we haijalishi mtu yukoje yeye awe bikra tu… ni kama muajiri aseme kwamba yani haijalishi mtu kafauluje yeye awe na cheti tu, means cheti ndio kitampa uhakika mwajiri kwamba huyu mtu amesoma! Basi sawaBikra ni kiashiria kuwa binti anaijua thamani yake na kuitunza.
Ukiacha tabia ambazo tumezibeba kwenye vinasaba vyetu, tabia zingine tunazipata kutokana na mazingira na experiences tunazopitia, tunakutana na watu sio sahihi wanatubadilisha tabia zetu.
So ukimpata bikra, mwanaume ana nafasi kubwa sana ya kumshape binti kimahusiano.
Mimi nilimuacha kabla yeye anafanya kwangu na ilimuuma maana message zake nilikuwa sijibu na akipiga sipokei ikabidi awe ananitafuta na namba ngeniDuhh! Naye alikuwa kiroporopo tu😆
Haina maana nyingine zaidi ya kuwa hakutaki.Siku ukiipata Tena muda zungumzia hii ya kuwekwa friendzone na mwanamke inamaana gani naona wanaume wengi hii upitia
Sex na kumpenda mtu sio nguzo pekee za ndoa. Maisha ya ndoa yanaenda mbali zaidi ya upendo na sex. Past ya mwanamke inachangia kwa kiasi kikubwa tabia na mtazamo wake toward her partner.Mi nachoshindwa kuwaelewa wanaume, sasa kama mtu umempenda ukijua body counts zake inakusaidia nn? Au izo style alizokunjwa zinabadilisha nini? Kitu kinachikutanisha wawili ni sex tu and not otherwise, utailemba kwa ndoa sijui mapenzi, mara pesa, sijui hutaki iliyochapwa sana! At the end main goal ni nini kama sio sex? Tutaongea yote lkn issue ni mnofu tu hakuna jipya! Eti wanaficha taarifa sahihi! For what? Ili zikusaidie nini? Unaandika historia mahala..?
Andiko ni jumuishi. Sijakufanyia rejea weweMbona Mimi nafurahiA ndoa yangu na pesa napata sinyimwi kunywa nachotaka
Huu ujinga wanaufanyaga wanawake wengi sana. Huwa wana-prefer bad boys or irresponsible men hili waangaike kumbadilisha awe nice guy baada ya kumchagua nice guy from the first place. Wakishindwa kumbadilisha huyu bad boy ndio wanaanza kulalamika unabaki kujiuliza kabla hajaolewa nae alikua hajui kama huyu mwanaume ni mkorofi, mlevi au womenizer?Ni kweli watu watu hubadilika wakati mwingine, lakini kama wewe hupendi wanaume mlevi halafu ukakubali kuwa nae ukiamini utaweza mbadilisha then good luck with you.
Bikira kwa mwanaume na mwanamke kijamii, kisaikolojia na kiroho zina maana tofauti kabisa.Hoja yako ni njema sana. Kwa kuwa tayari tunajua hayo ndio maana tukaambiwa kwenye bublia tuishi nao kwa akili. Kila kitu kilishasenwa.
Kwa suala la bikra hapo tutaongopeana tu maana huzo haziandikwi usoni. Na ukitaka bikira na wewe uwe bikira